NILISOMANAE YULE
Senior Member
- Mar 6, 2018
- 172
- 173
HAHAHA MBITIYAZA KWANININimejikuta nacheka tu na swali lako
Hahahahaha
Unaweza piaa ukauliza swali mi nshabiki wa arsenal n barcelona tz ni simba.....
Hili najibu kwa niaba,.. Mambembe limetokana na neno kimbembe (fujo/nongwa),.. Alikua mtu matata sana badala ya kimbembe likapatikana mambembe.Mambembe maana yake nn?
SHIDA NA RAHAHili najibu kwa niaba,.. Mambembe limetokana na neno kimbembe (fujo/nongwa),.. Alikua mtu matata sana badala ya kimbembe likapatikana mambembe.
Kutongozwa kawaida kwa mwanamkeMambembe unakumbana vp na tongozwa za maboss zako?
Je ulisha wahi kutoka na mume wa mtu? Je,ulijutia?
Ndoto zangu zilikuwa nikifikiaa huu umri.Mungu alonijaliaa niwe atleast asilimia 80 nishaziishi ndoto zangu bt nipo.kwenye 60 hivi namshukuru Mungu kwa hilo piaaMambembe .
Ndoto zako zilikuwa ni zipi? na
Mpaka umri wako ulipofikia je unadhani ndoto zako zimetimia kwa asilimia ngapi.
Kipi usichopenda?
Mapenzi hayanaga mjanjaaa sio kila.nikiandika.nikuwa.mimi.ni fundi tu hell no mapenzi yapo tofauti kwenye ufanyaji kuna wapo rough,kuna wapo taratibu yaan mapenzi.ni.mjumuiko wa vitu vingi saana wa kuniswetisha hakosekani yaan unaweza omba ukatishe mechi alafu mwenzio ndo kwanzaa kama anaanzaa usiombeee ukutane na mtu asha......kabla ya.mechi yaan lapili.linakuwa la kwanza ni balaaaa.....Katika pita zako na ujuzi wako ushawahi swetishwa na mwanaume badala ya wewe kumswetisha?
POA MKUUYes napitiaga tu.....
Shuuu mi more love...wew ni kati ya wale ninao wakubali....be blessed