Issue ya Fanton iko very sad, kuna wakati kile ulichopaswa kukihofia tu ni ku-maintain mafanikio yako. Sasa hivi unahofia kama wife ataruka kutaka 50%

Issue ya Fanton iko very sad, kuna wakati kile ulichopaswa kukihofia tu ni ku-maintain mafanikio yako. Sasa hivi unahofia kama wife ataruka kutaka 50%

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Pole sana Fanton Mahal, i feel for you buddy.

Pole kwa kuwa muhanga wa matokeo ya kizazi cha feminism, malezi ya ovyo ya watoto wa kike, sera mbovu zinazojali hisia za mwanamke peke yake, ongezeko la utamaduni wa kisera sera na influence ya social media.

Tulipokuwa wadogo, pale baba alipomlamlamikia mama, tulidhani baba ni mbabe sana lakini tunavyokuwa wakubwa ndio tunaona moto wenyewe tena huu wa kwetu ni ultra flame🔥🔥.
Sishangai kuona Intelligent businessman hataki maswala ya ndoa

Mwanamke kuwa RESPONSIBLE ni kama maji na mafuta.

Mwanamke kuwa SATISFIED ni kama samaki na ardhi.

Mwanamke kuwa RATIONAL ni kama moto na fire extinguisher
 
Kama sio mpira na vijiwe vya kahawa wanaume wengi tungekuwa tunaongea wenyewe njiani maana ndani ya nyumba hali si hali
 
Pole sana Fanton Mahal, i feel for you buddy.

Pole kwa kuwa muhanga wa matokeo ya kizazi cha feminism, malezi ya ovyo ya watoto wa kike, sera mbovu zinazojali hisia za mwanamke peke yake, ongezeko la utamaduni wa kisera sera na influence ya social media.

Tulipokuwa wadogo, pale baba alipomlamlamikia mama, tulidhani baba ni mbabe sana lakini tunavyokuwa wakubwa ndio tunaona moto wenyewe tena huu wa kwetu ni ultra flame🔥🔥.
Sishangai kuona Intelligent businessman hataki maswala ya ndoa

Mwanamke kuwa RESPONSIBLE ni kama maji na mafuta.

Mwanamke kuwa SATISFIED ni kama samaki na ardhi.

Mwanamke kuwa RATIONAL ni kama moto na fire extinguisher
Shida yetu ni kuoa na kumfanya Mwanamke kama mshirika wako kosa, fanya hivi: Oa na hudumia huyo Mwanamke kama gari lako au baiskeli Yako au ng'ombe wako au chochote unachokihudumia na kukitunza vizuri bila kitu hicho kujua wewe una mipango gani, gari halijui mipango Yako kadhalika Mwanamke asijue, ng'ombe hajui mipango Yako kadhalika Mwanamke asijue, labda atakachojua ni nyumba ya kuishi familia basi si mipango yote, tatizo letu wanaume tumekuwa waoga wa maisha tunataka kusaidiwa na wanawake, swali: ikiwa mwanaume anaogopa maisha anataka wasaidiane na Mwanamke je Hali ya Mwanamke ikoje? Ni mbaya zaid kwa nini? Kwa sababu hofu ya maisha ndo inamfanya atake Mali ziwe zake si za kupangiwa, kama hatutabadilika Cha moto tutaendelea kukiona, eleweni kama wewe unavyofanya janja janja kazini na yeye anakulia tyming kwa sababu anataka gari yake nyumba yake mashamba yake, na vyote viwe vyake, Oa lisha visha mpe malazi no job, no business, no vikoba no... no.... no.... Hataki muache, hivi mnawezaje unaenda kazini eti na yeye anaenda kazini. Hapana kama hamkubali subirini mtafikiwa si mnataka msaidiane mtawasaidia wao.
 
Back
Top Bottom