Issue ya haki sawa kwa jinsia zote sidhani kama itawahi kufikiwa

Issue ya haki sawa kwa jinsia zote sidhani kama itawahi kufikiwa

Davidmmarista

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2024
Posts
3,114
Reaction score
6,309
Wadau habari,
Dah! Nimekaa mahali Leo nikatafakari kitu kwa miaka sasa Elimu umekuwa ikitolewa haki sawa kwa mwanaume na mwanamke lakini je hili lipo kweli kwenye Jamii zetu? Je wanaume tunakubaliana na hili?

Leo hii tukichukulia aspect ya ndoa mwanamke akitoka hadharani(on public) na kulia mwanaume anamuonea, anateseka, Hana amani, anafanyiwa vitendo ambavyo sio mwanaume ataonekana ni muovu, anamakosa na ni mnyanyasaji. Vilevile, mwanaume akatoka Incase anaonewa na kuongea hadharani ataonekana mdhaifu, hawezi kujitetea, pengine hata kutokutofautishwa na mwanamke. Je unadhani hili ni sawa?

Ukija upande wa mwanamke kwa upande wangu na experience niliyoiona mwanamke mara nyingi hana maamuzi namtaka mtu fulani kwa maana gani mwanaume akifuatwa na mwanamke na kuomba relationship hii inatafsiriwa kama mwanamke ni mdangaji, Malaya nk. Kwahiyo mostly men decide nani atakuwa mke wangu na ndiye mwenyewe choice ya kuona na kumfuata mwanamke. Je jambo hili unadhani linaweza kubadilishwa katika Jamii zetu??

Naomba nikaribishe maoni kutoka kwa wadau watusaidie kushare kidogo hapa....🫴
 
Usawa wa kijinsia ni illusion tu. Ukileta kwenye uhalisia haiwezekani.

Kinachofanyika ni standardize tu, kwamba mwanaume apunguziwe nguvu na mwanamke aongezewe nguvu ili ku-force uwiano.
 
Usawa wa kijinsia ni illusion tu. Ukileta kwenye uhalisia haiwezekani.

Kinachofanyika ni standardize tu, kwamba mwanaume apunguziwe nguvu na mwanamke aongezewe nguvu ili ku-force uwiano.
Sahihi kabisa ✅✅ it's something that is impossible.
 
Back
Top Bottom