Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Lile sakata la masogange kuwekwa ndani kwa shutuma za madawa ya kulevya, limeingia ukurasa mpya baada ya hivi karibuni rafiki wa masogange ambaye pia ni staa wa filamu aitwaye Irene uwoya, kumjia juu wema sepetu baada ya kumtaja masogange kuwa mi miongoni mwa ma staa wanaotumia na kuuza madawa ya kulevya, staa hyo alitumia tafsida kufikisha ujumbe kwa wema sepetu kuwa alichokifanya sio ustaarabu ,alimtaka staa hyo kujifunza kutatua matatizo yake bila kumshirikisha mtu.

Wema na uwoya ni mastaa ambao inasadikiwa wako kwenye bifu la chini kwa chini kwa muda mrefu, uenda sakata hili linaweza kuibua ugomvi mkubwa kwa mastaa hao wawili wenye mvuto wa aina yake.
0d4af2ad2c1425946e216485b5739984.jpg
Nayeye irene akamatwe basi
 
Hujajibu swali langu kuhusu pia Wema kuongelea Masogange na Makonda.
Inaweza kuwa kweli, masogange kutoka na makonda, pia inaweza kuwa kweli masogange alibeba madawa ya kulevya SA na issue yake kuzimwa, issue hapa sio kama namtetea masogange sio punda, bali hii issue yake ilizimwa kitambo, sasa baada ya wema kumtaja masogange akawa ameifufua, maana kuna kauli alisema kuwa masogange alikamatwa zaidi ya mara tatu.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
aah siku nitawaambia jinsia yangu

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Wewe hata Ukiwa na dushe ni KE tu..
Hakuna mwanamme wa dizaini hio.. Labda kama na wewe unauza ngada
Inaweza kuwa kweli, masogange kutoka na makonda, pia inaweza kuwa kweli masogange alibeba madawa ya kulevya SA na issue yake kuzimwa, issue hapa sio kama namtetea masogange sio punda, bali hii issue yake ilizimwa kitambo, sasa baada ya wema kumtaja masogange akawa ameifufua, maana kuna kauli alisema kuwa masogange alikamatwa zaidi ya mara tatu.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Inaweza kuwa kweli, masogange kutoka na makonda, pia inaweza kuwa kweli masogange alibeba madawa ya kulevya SA na issue yake kuzimwa, issue hapa sio kama namtetea masogange sio punda, bali hii issue yake ilizimwa kitambo, sasa baada ya wema kumtaja masogange akawa ameifufua, maana kuna kauli alisema kuwa masogange alikamatwa zaidi ya mara tatu.

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app

Kama ni kweli kwanini asiadhibiwe kwa kutuharibia watoto, ndugu, jamaa na marafiki zetu?

Tena unasema kisha shikwa "mara tatu"! Huyu si wa kupewa fursa kabisa ya kuishi uraiani. Ni zaidi ya ufisadi aufanyao kwa tamaa.
 
Kuficha uhalifu ni kosa kubwa sana. Mhalifu hata kama ni nduguyo hana wema. Wema alichokifanya kinatakiwa kuigwa na wengine, kama iwapo kuna mtu unamfahamu ni muhusika wa madawa ya kulevya ni vyema ukaitaarifu taasisi husika ili hatua stahiki zichukuliwe. Sasa Wolpa anataka wahalifu wafiche!!? Hapana! Hii inakaribisha jicho la kipekee lielekezwe kwa Wolpa, yawezekana na yeye anahusika.
 
Hujajibu swali langu kuhusu pia Wema kuongelea Masogange na Makonda.
Hio ilikuwa ni kofi.... Kwa nn mwanamke mwenzio anawekwa na muweka ndani unaye mfukoni unashindwa kumsaidia mwenzio... Ngoja nikutaje ili na wewe ukaone Kama ni pazuri.
 
Kuficha uhalifu ni kosa kubwa sana. Mhalifu hata kama ni nduguyo hana wema. Wema alichokifanya kinatakiwa kuigwa na wengine, kama iwapo kuna mtu unamfahamu ni muhusika wa madawa ya kulevya ni vyema ukaitaarifu taasisi husika ili hatua stahiki zichukuliwe. Sasa Wolpa anataka wahalifu wafiche!!? Hapana! Hii inakaribisha jicho la kipekee lielekezwe kwa Wolpa, yawezekana na yeye anahusika.
mbona wahusika wanajulikana na wametajwa
 
Kama ni kweli kwanini asiadhibiwe kwa kutuharibia watoto, ndugu, jamaa na marafiki zetu?

Tena unasema kisha shikwa "mara tatu"! Huyu si wa kupewa fursa kabisa ya kuishi uraiani. Ni zaidi ya ufisadi aufanyao kwa tamaa.
wema kashikwa ameadhibiwa? ,akina tunda na rommy jones?lets try to be fair

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
 
Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Warumi mdomo huo mdomo, hautokusaidia na ipo siku utakuhukumu! Utazaa ila watakufa na utabaki mpweke kama huyo unayemuita hazai,kuna vitu vya kuchekana lakini sio kufuru hiyo unayoitoa
 
Wema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
We ulitaka asikamatwe yeye nani?Kama Manji mwenyewe katajwa itakuwa huyo msingi tako?
 
Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Mie nilijua Wema ana Bipolar disorder kumbe anavuta bange!
Halafu hajajua hatima ya kesi yake ya kukutwa na kipisi cha bangi,ameshaanza kuchonga.Watu watammaliza anaweza kula miaka miwili bila ya fine,
 
Back
Top Bottom