SEMARK2020
Senior Member
- Feb 7, 2015
- 171
- 123
Finally! Your dead and gone is waiting for you pale pale kwa siku ile
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ha ha ha ha ha ha ha ha just wa.......da mov....Ohoooo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
HahahahaMungu asaidie uwe mwanamke,kama ni mwanaume kunatatizo!
Warumi ni dada au kaka?Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Haya Sasa kumbe na jinsia zina aina tatu!!!!Huwa natamanigi kujua we ni wa jinsia ipi kati ya tatu tulizonazo
achana na wema weweuchawi wake ni nini? kuna mtu asiyejua kua masogange alikamatwa na madawa ya kulevya? harafu wewe kama si uwoya basi jirani yake... si kwa povu ili, nakuona nakuona...
Kwahiyo ww nawe imekuuma sana au maana povu jingi lakutoka nyie ndiyo wanga wenyewe ww ndiyo mungu mpaka ujue hazai au ww unajiona mkamilifu sana hapa duniani au usipende kutazama kibanzi ktk jicho la mwenziyo .Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
He/She/CombineHaya Sasa kumbe na jinsia zina aina tatu!!!!
Sasa wewe ulitakA asikamatwe aendelee na biashara yake ya madawa wewe bure kabisaWema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?
Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Kakunyima nn?Ila wema ana roho mbaya sana
Basi ukareport kwa Hamis J3
Bora hata angeninyima... Ana roho nyeusi Kama mkaaKakunyima nn?
Kwa hio hakukunyima ......Amekupa nn?Bora hata angeninyima... Ana roho nyeusi Kama mkaa
ipake rangi iwe nzuri kama yakoIla wema ana roho mbaya sana
Naona imekuuma Sana[emoji23][emoji23][emoji23] hakuna namna ukweli lazima usemwe mfikishie huo Ujumbe boss wakoipake rangi iwe nzuri kama yako