Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema

Finally! Your dead and gone is waiting for you pale pale kwa siku ile
 
Ohoooo!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
04a8dfa40bb9c76104d1aa7e58ecdd80.gif
ha ha ha ha ha ha ha ha just wa.......da mov....
 
Suala la kuzaa linaingiaje hapa?
Kelly Rowland kazaa na miaka 35,Venus and Serena Williams wamezaa?
Jana tumesikia Spain mwanamke mwenye miaka 65 kazaa mapacha.
Kuingiza masuala ya uzazi as if you are God is the height of stupidity
 
uchawi wake ni nini? kuna mtu asiyejua kua masogange alikamatwa na madawa ya kulevya? harafu wewe kama si uwoya basi jirani yake... si kwa povu ili, nakuona nakuona...
achana na wema wewe
 
Kumbe uwoya upo kama mimi eeh? Wema ni shetani, hafai sana yule ndio maana hazai mwanaizaya huyo mfyuuu.
Kwahiyo ww nawe imekuuma sana au maana povu jingi lakutoka nyie ndiyo wanga wenyewe ww ndiyo mungu mpaka ujue hazai au ww unajiona mkamilifu sana hapa duniani au usipende kutazama kibanzi ktk jicho la mwenziyo .
 
Wema mchawi , na pale alikua hajui kama anarekodiwa anaanza kuropoka utumbo, mi limeniboa sana kwa kweli, unajua ni bora aggy angekamatwa kivyake sasa wema ndo kafanya akamatwe, hyo ni binadamu sasa?

Sent from my SM-J100H using JamiiForums mobile app
Sasa wewe ulitakA asikamatwe aendelee na biashara yake ya madawa wewe bure kabisa
 
Back
Top Bottom