Issue ya uwanja wa Simba imeishia wapi?

Issue ya uwanja wa Simba imeishia wapi?

Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2022 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro.

Huu sasa ni uhuni.
Kanjibai kaziingiza kwenye biashara ya ubuyu.
 
Hela imeenda kumsaidia kulipia wanasheria Daudi bashite arudishiwe kiwanja chake alichoibiwa na madhulumati kiasi kinachobaki kitalipa teams 14 zilizotapeliwa kuvaa nembo bure kwenye bega kwa miezi kadhaa
 
Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2022 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro.

Huu sasa ni uhuni.
Mwezi wa 12 mwaka 2022 bado kufika...

Wewe umefikaje huko?
 
Demu wa Mudi kuzuiwa wakademka na Uwanja ili kuyapiga mandondocha ya Makolo
 
Ujenzi wa UWANJAA sina kumbukumbu fresh lakin utelekelezaji wake una changamoto nyingi kimtindo mtindo in Roma's voice🤣🤣🤣🤣
 
Badala ya kuulizia SGR ambayo itakusaidia kufika kijijini kwenu kwa uharaka na kuleta mahindi yako sokoni unahangaika na uwanja wa simba ambao hata haukusaidii
 
Hata mrejesho wa michango
Mimi ni shabiki wa Simba. Kinachonishangaza issue ya uwanja imekuwa kimya. Tangu mwezi wa 12 mwaka 2021 tunadangaywa tu kuwa maelezo yatatolewa na tutaletewa michoro.

Huu sasa ni uhuni.
 
Mpaka barbra atimuliwe tena uwanja wa TFF ili jazba zifumuke wadau wachangie kwa hamasa zaidi
 
Tunaomba na mchanganuo wa matumizi kwa zile Bilioni 20 za Mwekezaji 🥵
 
Back
Top Bottom