Mkuu unaendesha fiat?Mkuu hata mm nime experience icho kitu. Lakini ni kuwa kuna mtu aliendesha iyo gari ikiwa kwenye hand break. So ndo ikaanza izo fighisu. Na ikifika kipindi had break ikaanza kuwa ya kupump mpka ukanyage mara 2 ndo inashika
Tatizo lake ni kwamba akishika brake kwa muda mrefu jembe LA brake linakuwa linashuka chini lenyewe na gari inakuwa inajisogeza taratibu.ndio maana tunasema ni raba za master cylinderWeka P au N ukisimama. Ukiiacha gari Drive kwanza ni uharibifu wa clutch. Ukisimama muda mrefu weka Parking au Neutral. Nadhani umenipata. Inajisogeza baada ya AC kuwaka. A/C ni kama fridge. Ikipata baridi itakiwayo huzimika na injini kupunguza mzunguko. Ikiwaka AC engine lazima iongeze mzunguko ili kuizungusha compressor. Umenipata nadhani. Ila kama unaona tatizo nitumie dola 300 nitakurekebishia online.
AsanteTatizo lake ni kwamba akishika brake kwa muda mrefu jembe LA brake linakuwa linashuka chini lenyewe na gari inakuwa inajisogeza taratibu.ndio maana tunasema ni raba za master cylinder
Yap inawezekana mkuuNinauzoefu na tatizo hilo limetokea kwangu zaidi ya mara Mbili kwenye magari tofauti tiba yake ni kubadili mtungi wa mafuta ya breck wanaita masta silinda anafikili kuna vilaba vinaisha kwa ndani
Mkuu bei ya master cylinder imesimamia ngapi kwa hizi toyota zetu za kusogezea siku? Maana nahisi suluhisho ni hilo. Nilishabadili rubber ila tatizo limejirudiaMkuu hata mm nime experience icho kitu. Lakini ni kuwa kuna mtu aliendesha iyo gari ikiwa kwenye hand break. So ndo ikaanza izo fighisu. Na ikifika kipindi had break ikaanza kuwa ya kupump mpka ukanyage mara 2 ndo inashika
master cylinder inasimamia bei gani mkuu walau nikienda dukani niwe na picha kamiliNinauzoefu na tatizo hilo limetokea kwangu zaidi ya mara Mbili kwenye magari tofauti tiba yake ni kubadili mtungi wa mafuta ya breck wanaita masta silinda anafikili kuna vilaba vinaisha kwa ndani
Around 80 hivimaster cylinder inasimamia bei gani mkuu walau nikienda dukani niwe na picha kamili
Ahaa basi ngoja nikichangeAround 80 hivi