Wakuu habari za weekend!
kuna tatizo naliexperience kwenye ist toleo 2003 cc 1290, nikiwa kwenye foleni za kawaida nikaweka breki(sio handbrake) ikizidi dk 1 gari inajisogeza kidogo mpaka nikanyage full yaani mpaka chini kuna wakat nalazimika kuweka handbrake kwa usalama zaidi.
Naombeni msaada tatizo laweza kuwa nini? Ni kwa ist zote au mguu wangu tu unakuwa umechoka?