ISt gari kujisogeza kidogo baada ya kuhold breki zaid ya dk 1

ISt gari kujisogeza kidogo baada ya kuhold breki zaid ya dk 1

Kremme

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
471
Reaction score
495
Wakuu habari za weekend!

kuna tatizo naliexperience kwenye ist toleo 2003 cc 1290, nikiwa kwenye foleni za kawaida nikaweka breki(sio handbrake) ikizidi dk 1 gari inajisogeza kidogo mpaka nikanyage full yaani mpaka chini kuna wakat nalazimika kuweka handbrake kwa usalama zaidi.

Naombeni msaada tatizo laweza kuwa nini? Ni kwa ist zote au mguu wangu tu unakuwa umechoka?
 
Weka P au N ukisimama. Ukiiacha gari Drive kwanza ni uharibifu wa clutch. Ukisimama muda mrefu weka Parking au Neutral. Nadhani umenipata. Inajisogeza baada ya AC kuwaka. A/C ni kama fridge.

Ikipata baridi itakiwayo huzimika na injini kupunguza mzunguko. Ikiwaka AC engine lazima iongeze mzunguko ili kuizungusha compressor. Umenipata nadhani. Ila kama unaona tatizo nitumie dola 300 nitakurekebishia online.
 
Mkuu hata mm nime experience icho kitu. Lakini ni kuwa kuna mtu aliendesha iyo gari ikiwa kwenye hand break. So ndo ikaanza izo fighisu. Na ikifika kipindi had break ikaanza kuwa ya kupump mpka ukanyage mara 2 ndo inashika
 
Mkuu hion ni Master cylinder ndio ishu (Brake). Mpelekee fundi akutizamie, huwa kuna rubbers kwa ndani hivi huwa zishalika, saa nyingine huwa ni hio cylinder yenyewe nayo imekwisha, ata ukiweka new rubbers inafanya hivo, inabidi upachike nyengine tu
 
Mkuu hata mm nime experience icho kitu. Lakini ni kuwa kuna mtu aliendesha iyo gari ikiwa kwenye hand break. So ndo ikaanza izo fighisu. Na ikifika kipindi had break ikaanza kuwa ya kupump mpka ukanyage mara 2 ndo inashika
Mkuu unaendesha fiat?
 
Badilisha raba za kwenye master cylinder.
 
Weka P au N ukisimama. Ukiiacha gari Drive kwanza ni uharibifu wa clutch. Ukisimama muda mrefu weka Parking au Neutral. Nadhani umenipata. Inajisogeza baada ya AC kuwaka. A/C ni kama fridge. Ikipata baridi itakiwayo huzimika na injini kupunguza mzunguko. Ikiwaka AC engine lazima iongeze mzunguko ili kuizungusha compressor. Umenipata nadhani. Ila kama unaona tatizo nitumie dola 300 nitakurekebishia online.
Tatizo lake ni kwamba akishika brake kwa muda mrefu jembe LA brake linakuwa linashuka chini lenyewe na gari inakuwa inajisogeza taratibu.ndio maana tunasema ni raba za master cylinder
 
Tatizo lake ni kwamba akishika brake kwa muda mrefu jembe LA brake linakuwa linashuka chini lenyewe na gari inakuwa inajisogeza taratibu.ndio maana tunasema ni raba za master cylinder
Asante
 
Ninauzoefu na tatizo hilo limetokea kwangu zaidi ya mara Mbili kwenye magari tofauti tiba yake ni kubadili mtungi wa mafuta ya breck wanaita masta silinda anafikili kuna vilaba vinaisha kwa ndani
Yap inawezekana mkuu
 
Mkuu hata mm nime experience icho kitu. Lakini ni kuwa kuna mtu aliendesha iyo gari ikiwa kwenye hand break. So ndo ikaanza izo fighisu. Na ikifika kipindi had break ikaanza kuwa ya kupump mpka ukanyage mara 2 ndo inashika
Mkuu bei ya master cylinder imesimamia ngapi kwa hizi toyota zetu za kusogezea siku? Maana nahisi suluhisho ni hilo. Nilishabadili rubber ila tatizo limejirudia
 
Ninauzoefu na tatizo hilo limetokea kwangu zaidi ya mara Mbili kwenye magari tofauti tiba yake ni kubadili mtungi wa mafuta ya breck wanaita masta silinda anafikili kuna vilaba vinaisha kwa ndani
master cylinder inasimamia bei gani mkuu walau nikienda dukani niwe na picha kamili
 
Back
Top Bottom