Water pump ingekua imekufa angeshajua bila kumuita fundi, kwanza maji yote ya ktk rejeta yangeisha ndani ya dk moja mara tu baada ya kuiwasha gari na pia sign ya engine kuwa overheated ingetokea kwenye dashboard.Duuuu hii ya leo Kali jamani!
Kwa hiyo ina maana hiyo coolant inasukumwa kutoka Kwenye radiator Hadi Kwenye engine Kwa kutumia nini?
Au coolant unapita Kwenye mfumo tofauti na maji?...
Sidhani kama maelezo yako yanatosheleza. Ninachojua mimi, coolant unaijaza kwenye radiator, halafu unajaza tena kwenye reserve tank mpaka kwenye minimum ili nafasi ya kupumua iwepo.Habari Wakuu!
Naomba msaada wa kiufundi kwa IST kutorejesha coolant kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank ambayo imekuwa ikimwagika baada ya kujaa. Nimejaribu kubadilisha kifuniko cha rejeta lakini tatizo bado linaendelea.
Ungeweka maelezo yenye kujitosheleza ili watu waweze kukusaidia.
Mfano, gari uliponunua ilo tatizo lilikuwepo ama la, na maelezo mengine.
Huyo fundi airudishe hiyo thermostat aliyoitoa.
Thermostat haihusiani kabisa na kutuma any information kwenda kwenye control box and there is no any cable send information from thermostat to elsewhere, thermostat inafanya kazi kutokana na heat conductivityKwa uelewa wangu mdogo nitakujibu, kiufupi umemaanisha gari yako inarudisha coolant fluid juu badala kuvuta ndani. Kama unamwamini fundi wako mwambie ajaribu kukagua cylinder gasket kama bado inaziba/ seal vizuri.
kuna mdau amegusia waterpump, nalo tilia maanani kidogo. Thermostat rudisha maana ndio inayopeleka taarifa kwenye control box kua engine inapandisha joto ili vitu vingine vya kupooza vifanye kazi yake.
Nijuavyo, coolant fluid haitakiwi irudishwe juu kiasi cha kufanya ipenye mfuniko na kumwagika chini. Inakolelekea ni kupasua horse pipes.
Bado tatizo ni funiko tu. Tafuta funiko la type na aina yake tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Mkuu. Tatizo limeisha baada ya kupata mfuniko wa type yake
Unatakiwa ununue mlango wa Rav4 wenye tairi kwa nyuma hio ndo solution yake...On another observation VANGUARD huwa hazina provission ya spare tire. Kuna maujanja ambayo wabongo wameshabuni ili kusolve hilo tatizo?
Hii ilmu ya thermostant iwekeni sawa, kuna tatizo kubwa sana hapo.Thermostat haihusiani kabisa na kutuma any information kwenda kwenye control box and there is no any cable send information from thermostat to elsewhere, thermostat inafanya kazi kutokana na heat conductivity
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwann huwa mnatoa thermostat?! Thermostat inapokufa unatafuta mpya unafunga..... Ina umuhimu sana katika magari.Gari nilinunua 2017 haikuwa na hiyo tatizo ilianza gafla mwaka jana mwezi wa 7 na wala haichemshi. Kuondolewa kwa thermostat kuna athari yeyote?
Kuna sensor ya engine temperature ndio hupeleka taarifa katika control box ili control box itoe maagizo kuwa thermostat ifungue au kufunga njia..... Zinafanya kazi pamoja...Kwa uelewa wangu mdogo nitakujibu, kiufupi umemaanisha gari yako inarudisha coolant fluid juu badala kuvuta ndani. Kama unamwamini fundi wako mwambie ajaribu kukagua cylinder gasket kama bado inaziba/ seal vizuri.
kuna mdau amegusia waterpump, nalo tilia maanani kidogo. Thermostat rudisha maana ndio inayopeleka taarifa kwenye control box kua engine inapandisha joto ili vitu vingine vya kupooza vifanye kazi yake.
Nijuavyo, coolant fluid haitakiwi irudishwe juu kiasi cha kufanya ipenye mfuniko na kumwagika chini. Inakolelekea ni kupasua horse pipes.
Tatizo jingine hiloThanks kwa ushauri Mkuu, naomba nisaidie aina ya mfuniko mzuri maana nimebadili mara mbili na kuna fundi alidai inasababishwa na thermostat akaitoa lakini tatizo likaendelea
Habari Wakuu!
Naomba msaada wa kiufundi kwa IST kutorejesha coolant kwenye rejeta kutoka kwenye reserve tank ambayo imekuwa ikimwagika baada ya kujaa. Nimejaribu kubadilisha kifuniko cha rejeta lakini tatizo bado linaendelea.
Kwahiyo gari yako sasa hivi haina thermostat?!Thanks kwa ushauri Mkuu, naomba nisaidie aina ya mfuniko mzuri maana nimebadili mara mbili na kuna fundi alidai inasababishwa na thermostat akaitoa lakini tatizo likaendelea
Fafanua... Haina provision ndio umemaanishaje?!On another observation VANGUARD huwa hazina provission ya spare tire. Kuna maujanja ambayo wabongo wameshabuni ili kusolve hilo tatizo?
Tena kubwa sana....Gari nilinunua 2017 haikuwa na hiyo tatizo ilianza gafla mwaka jana mwezi wa 7 na wala haichemshi. Kuondolewa kwa thermostat kuna athari yeyote?
Ipo sensor inafanya kaziThermostat haihusiani kabisa na kutuma any information kwenda kwenye control box and there is no any cable send information from thermostat to elsewhere, thermostat inafanya kazi kutokana na heat conductivity
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sababu ya kuhangaika kubadili mlango. Ahakikishe ana tairi nzuri na emergency kit for tyre repairUnatakiwa ununue mlango wa Rav4 wenye tairi kwa nyuma hio ndo solution yake...
fanya swap ya mlango wa nyuma funga wa rav 4 3rd generation ...zinaingiliana milango na vanguardOn another observation VANGUARD huwa hazina provission ya spare tire. Kuna maujanja ambayo wabongo wameshabuni ili kusolve hilo tatizo?
Aidha Temperature switch imekufa pia.. (haiwasiliani na ECU kuitaarifu wakati gani wa kufungua feni) au ulivyogonga, thermostat imeguswa haifunguki kuruhusu Maji kuzunguka ndani ya engine block.Wadau nina ist ya 2006, juzi niliipiga sehemu radiator ikapinda ikagusa fan na kuzuia fan kuzunguka... Kulikopelekea motor kuungua.
Baada ya motor kuungua fan ikashndwa kuzunguka na mashine ikaanza kuheat.
Shida yangu ni kuwa nishaweka motor zingine kama 2 hivi na bado injini inaheat kwa kilometer chache tu hata 30 hazifiki na maji yanaisha kabisa.
Nb.
Rejeta haivuji, sasa hapa solution ipo vipi.
Je kuna aina ya moto special kwa hizi gari, au fan special,. Na ni wapi naweza nikaipata na kwa gharama gani maaana nateseka saana na nina safari. Ya kwenda bukoba week ijayo.
Thanx saana mkuu nilienda kwa fundi ikagundulika kuwa fan iligeuzwa ikawa inapuliza radiator... Akabadili switch..mpaka leo mambo safi tu.Aidha Temperature switch imekufa pia.. (haiwasiliani na ECU kuitaarifu wakati gani wa kufungua feni) au ulivyogonga, thermostat imeguswa haifunguki kuruhusu Maji kuzunguka ndani ya engine block.
Engine inatakiwa kufikia joto flani ili ifanye kazi vizuri... Thermostat inaangalia kuhakikisha hili joto linalotakiwa lipo, kama halipo inazuia maji kupooza engine.., Kama lipo linazidi inaruhusu maji kupooza.
Kwa mazingira yetu (Joto kubwa) Ni kweli thermostat huwa haina kazi na ndo mana wanaichomoa... sijawai kuskia mtu anaishi Dar es Salaam anawasha gari ikagoma kuwaka kwa sababu ni ya baridi mno.. au engine yake inapoa kupita kiasi.., Joto letu ukiacha soseji nje unakuta imeiva.