IST inauzwaa, tizama hapa!

IST inauzwaa, tizama hapa!

dullymo

Senior Member
Joined
Aug 21, 2009
Posts
105
Reaction score
5
toyota IST ya mwaka 2002.
CC 1300!!!
odo 97,000
rangi ya silver

options
Anti-Lock Brakes / Driver Airbag / Passenger Airbag / Power Windows / Tinted Glass / A/C:front / Power Steering / Remote Keyless Entry / AM/FM Radio / CD Player / Alloy Wheels / Power Door Locks / Power Mirrors/ cd changer / spoilers/

very economic car. matumizi yake ya mafuta ni kama ya starlet. uploaded sound system. very clean insside and outside. very beautifuuull car.

bei ni 10.5 ml mazungumzo yapo

ukitaka kuiona na maelezo mengine just nitwangie kwenye
0713 744 144
 

Attachments

  • 01.jpg
    01.jpg
    26.5 KB · Views: 84
Last edited:
IST nilishtuka nikataka kujua imekuwaje Internation School of Tanganyika inauzwa? kumbe sio IST hiyo ni toyota mhhn
 
attach the picture of the real car for sale and not the one downloaded from the internet.
 
attach the picture of the real car for sale and not the one downloaded from the internet.
gari ni hiyo na nimeinunua kwa kupitia picha hiyo hiyo. sasa mpaka niipige picha upya wakati ipo nyumbani while hakuna ilichoongezeka au kupungua huoni ni kupoteza muda mzee?
 
Mi nikajua "International School of Tanganyika" inauzwa.
 
He hata mimi nilifikiri International school of Tanganyika inauzwa. Kumbe gari jamani badili heading kwa kweli.
 
IST nilishtuka nikataka kujua imekuwaje Internation School of Tanganyika inauzwa? kumbe sio IST hiyo ni toyota mhhn

Duh!
Hata mie wazo lilikuwa hapo hapo, kumbe ni toyota IST!

Headings zingine balaa sana!
 
hiyo reading ya odo si mchenzo-mbali->>>>>>>>

dah mzee yaani ukiiwasha gari asubuhi ndo kwanza exhaust inatoa maji. hiyo ni real mileage au unataka upunguziwe ifike mpaka 50,000 ndo ufurahi?
yaani gari zenye odo chini ya 50,000 huko japan za bei rahisi ni 5 kati ya 100 so usikubali kudanganywa na hao wanaochezea odo.
 
Mi mwenyewe nimeshtuka nikasema sasa mzee dully ndio ameshatoka hivyo ... sio mwenzetu tena ... hatutamuona tena JF ...

hahahaha mzee mie na JF ni damu damu hata nikipata dili la EPA lazima mnione humu ndani dailyyy!!
 
IST nilishtuka nikataka kujua imekuwaje Internation School of Tanganyika inauzwa? kumbe sio IST hiyo ni toyota mhhn
...Na mimi nilihisi hivyo nikajua kuna fisadi anataka kufanya vitu vyake!!! haya kazi kwenu!!!
 
Dalali pia hatakosa ki2. cha muhimu mteja awe wa uhakika
 
hapana wazee itabidi nibadilishe heading kidogo maana naona inawakonfyuuz watu
lini utabadilisha??
nimetembelea nikidhani ni shule inauzwa ili niangalie hopw to bid
 
Back
Top Bottom