Wanaoandikaga mwaka wa gari hua hawaandiki mwaka ilioingia, bali iliyotengenezwa,kwa hiyo hiyo gari ya Mwaka Gani?
au mlikuepo wakati inaingia Tanzania?
hiyo imeingia 2015 na kwa Mtumba tuliouzoea ni mpya bado.
Ila ni kawaida watu kutaka kuchangia kila mada.
Mkimaliza mpost na Gari zenu mpya zenye tairi mpya. Tulinganishe!
Ninunue gari la mwaka 2003 nililodanganywa kua ni la mwaka 2015??unataka kununua?
Wasiwasi tena?? labda Biashara ya longolongo inaendeleabiashara inaendelea kuna nyingine zimepostiwa,
wasiwasi wako tu.
Nahisi huu mmoja wa wale watanzania wanne. Sijajua kama kuna model ya 2015 ipo hivyo kwa kweliChombo kipyaa kipo sokoni,
Bei yake ni 12 million.
Bado ni mpya kabisa, na ina documents zote.
0755155782 kwa mawasiliano zaidi.
Ipo Dar es salaam. View attachment 420053View attachment 420053 View attachment 420054View attachment 420055
Iko na muonekano mzuri sana, shape.Naipenda sana hii ya 2015
Vingine kwani ??Iko na muonekano mzuri sana, shape.
Hahaha. Ni mpya kwake. Kwa maana ameitia mkononi 2015. Lkn ni nzee kwa kutumika kwa maana imeshatumika huko ilikokuwa. Tumsamehe tu hajui anachokiongea. Ndio hawa waliobukiwa kwenye mitandao ya jamii basi hata ya 2000 pia ni mapya kwao.hii ist ya mwaka 2015 kweli???? mbona kama ya 2003???