Car4Sale IST ya 2015 sokoni.

Car4Sale IST ya 2015 sokoni.

Hornet

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
26,486
Reaction score
51,156
Chombo kipyaa kipo sokoni,
Bei yake ni 12 million.
Bado ni mpya kabisa, na ina documents zote.
0755155782 kwa mawasiliano zaidi.
Ipo Dar es salaam.
IMG-20161018-WA0004.jpg
IMG-20161018-WA0004.jpg
IMG-20161018-WA0005.jpg
IMG-20161018-WA0003.jpg
 
Mi nadhani waswahili wengi hatujajua (au maksudi) concept ya mwaka wa gari! Mtu anakuambia nimeagiza gari mpya Japan..hata kama ni ya 2002..atakwambia ni mpya kabisa! Jamani we need to change. It is an insult kama Huyu jamaa yetu anayetwambia eti IST ni ya 2015! You can even see kwamba gari imechoka....
 
IST ya 2015 iko hivi?[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Labda hili bango ni special kwa wanaume/w'wake wa mikoani...
 
kwa hiyo hiyo gari ya Mwaka Gani?
au mlikuepo wakati inaingia Tanzania?
hiyo imeingia 2015 na kwa Mtumba tuliouzoea ni mpya bado.
Ila ni kawaida watu kutaka kuchangia kila mada.
Mkimaliza mpost na Gari zenu mpya zenye tairi mpya. Tulinganishe!
 
We ndo hujaelewa, wanamaanisha imetengenezwa 2003, hawaangalii imeingizwa lini Tz
 
IST model ya 2015 au IST iliyoingia Tanzania 2015? Lazima maelezo yawe ya kueleweka kwa wateja, acha hasira mleta mada.
 
kwa hiyo hiyo gari ya Mwaka Gani?
au mlikuepo wakati inaingia Tanzania?
hiyo imeingia 2015 na kwa Mtumba tuliouzoea ni mpya bado.
Ila ni kawaida watu kutaka kuchangia kila mada.
Mkimaliza mpost na Gari zenu mpya zenye tairi mpya. Tulinganishe!
Maelezo yako ni chombo kipya sasa tukubali ni ya 2015, je gari ya 2015 ni mpya? Si ishatumika kwa mwaka mmoja au zaidi?!
 
kwa hiyo hiyo gari ya Mwaka Gani?
au mlikuepo wakati inaingia Tanzania?
hiyo imeingia 2015 na kwa Mtumba tuliouzoea ni mpya bado.
Ila ni kawaida watu kutaka kuchangia kila mada.
Mkimaliza mpost na Gari zenu mpya zenye tairi mpya. Tulinganishe!
Ukisema gari Ni ya mwaka 2015 Kwa waelewa Wa magari wanakuelewa kwamba gari imetengenezwa mwaka 2015.

Kwa hiyo picha most likely gari hiyo Ni ya Kati ya 2002-2004. Japo imeingia Tz mwaka 2015.

Sasa hebu mwambie mwenye hilo gari akupe kadi ya gari kisha usome Year of Manufacture ndiyo uje kutuambia imetengenezwa mwaka gani.
 
kwa hiyo hiyo gari ya Mwaka Gani?
au mlikuepo wakati inaingia Tanzania?
hiyo imeingia 2015 na kwa Mtumba tuliouzoea ni mpya bado.
Ila ni kawaida watu kutaka kuchangia kila mada.
Mkimaliza mpost na Gari zenu mpya zenye tairi mpya. Tulinganishe!
Acha wendawazimu wewe, unaposema gari ya 2015 maana yake katika masula ya magari ni mwaka iliyotengenezwa, sio mwaka ilipoingizwa nchini

Kuna terminologies ulizopaswa kuzijua kabla huja post tangazo ndio maana unaona kila mtu anakushangaa
 
Back
Top Bottom