Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,486
- 51,156
- Thread starter
- #21
sawa mr Terminologies.Acha wendawazimu wewe, unaposema gari ya 2015 maana yake katika masula ya magari ni mwaka iliyotengenezwa, sio mwaka ilipoingizwa nchini
Kuna terminologies ulizopaswa kuzijua kabla huja post tangazo ndio maana unaona kila mtu anakushangaa