Habari wakuu,
kama mada inavyosema kuna hizi gari za IST a.k.a baby walker zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari zozote, hadi huwa najiuliza kati ya dereva na gari ni nani aliyepagawa
Kwa wale mnaofahamiana na madereva wa 'ist' tunaomba mtueleze ni watu wa aina gani hasa na kuna jambo gani huwa wanaliwahi mara zote.
Yaani kwa sisi madereva wa magari kabla ya kufikiria kufanya movement yoyote barabarani, jambo la kwanza kufikiria ni uwezekano wa ISTkupita kwa kasi ya ndege ya kivita.
Nawasilisha.