IST zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari

IST zimekuwa kero sana kwenye kuendeshwa kwa mwendo mkali bila tahadhari

Isijekuwa imepagawa kama ilivyo boxer....
Hata boxer haina shida. Kuna mambo hupaswi kuyashangaa kama una uelewa wa kawaida wa maisha. Wanasema ukiwa na akili za kuvukia barabara mambo hayo hutayahoji wala kushangaa.

Hilo gari lako ikitokea wakanunua watu wengi yakajaa barabarani uwezekano wa fujo /ajali kuhusisha aina hiyo ya gari unaongezeka.

Gololi za Rangi nyekundu inapokuwa nyingi kwenye chupa uwezekano wa kuingiza mkono na kuokota gololi nyekundu unaongezeka.

Sasa acha kushangaa ist/boxer ni mambo ya kawaida hayo hakuna la ajabu unless huna uelewa.
 
Fear not the weapon but the hand that wields it. Tatizo siyo IST bali ni baadhi ya madereva wasio na ustaarabu. IST is a just a car. Inaweza kuendeshwa na mstaarabu au na asiye mstaarabu barabarani.
 
Back
Top Bottom