Hatimaye kwenye honi nimefanikiwa,Honi unatumia aina ipi ya umeme au upepo.
Hizi ndogo za umeme zikipigwa maji huwa zinabadili sauti na kufa, chukua honi nyingine jaribu kama itafanya kazi. Ikigoma mwambie fundi afatilie waya kama umekatika au imepata shoti.
Ngoja niichungulie mkuuKioo kama hakishuki na kupanda fungua kava kwenye mlango ucheki motor ya power window kama inafanya kazi, kwenye gari kubwa hiyo rubber ya kwenye kioo ikinyauka maji huwa yanapita na kusababisha kutu kwenye motor.
Motor unaweza ukaicheki kama inafanya kazi au haifanyi
Umefanikiwaje ?ili nasisi siku nyingine tuje tujifanye tunamajuzi!Hatimaye kwenye honi nimefanikiwa,
Tatizo bado lipo kwenye kioo
Chungulia motor, na pia chomoa power window kisha ujaribu kutumia wire direct kwenye tundu za connector kushusha na kupandishaNgoja niichungulie mkuu
,shukrani sana