Uchaguzi 2020 It is a fait accompli

Uchaguzi 2020 It is a fait accompli

If we always do what we’ve always done, we’ll always get what we’ve always got.

Nini maana yake?

Tukiendelea kufanya chaguzi zetu namna tuzifanyazo sasa, ‘washindi’ na ‘washindwa’ wataendelea kuwa ni wale wale tu...
Ukweli uko hapa tu na wala haihitaji kubishana..maana kinyume cha hii statement ndo mabadiliko yataonekana.. otherwise this statement is vivid.
 
Mkuu fikiria Lisu anaenda Zanzibara na kubwatuka kwamba chadema haina maslahi na Zanzibar! Na huyo ni mgombea urais wa tz kumbuka!

Sasa mtu kama huyo unategemea ataungwa mkono na vyombo vya usalama ili akabidhiwe nchi kweli?
 
Lisu anapanda jukwani na shehe ponda ambae vyombo vya usalama vimuweka chini ya uangalizi maalumu.,

Kweli Lisu ni mwana harakati
 
Mkuu fikiria Lisu anaenda Zanzibara na kubwatuka kwamba chadema haina maslahi na Zanzibar! Na huyo ni mgombea urais wa tz kumbuka!
Sasa mtu kama huyo unategemea ataungwa mkono na vyombo vya usalama ili akabidhiwe nchi kweli?

..Na aliyesema Jecha apewe nishani yeye hakubwatuka.

..Na kumpa Jecha nishani ndio kuwa na maslahi na Znz, na vyombo vya ulinzi vinaunga mkono?

..Na hivyo ni vyombo vya ulinzi au ni "vyombo vya ulinzi."?
 
Mkuu kama kwa miaka 60 ccm yetu imeshindwa kuwa kama chama za kikommunisti cha china ndo wataweza leo? kumbuka hicho chama cha china sio cha mchezo mchezo kile wale since day wako serious na kuleta maendeleo ya china, na wanaenda hatua kwa hatua, achana na hii ccm yetu ambayo ni utopolo mtupu.

CCM yetu ni kijiwe cha walafi tu ambacho wezi, wauza unga, mafisadi wamejificha huko na wanaabudiwa. CCM inafaidisha watu wengi sana kiuchumi na siku ikianguka kuna wengi watalia kilio cha mbwa koko so ccm ni umoja wa waovu ambao kamwe hatakuwa tayari kuachia madaraka iwe kwa kumwaga damu au otherwise.

Mfumo wa vyama vingi unarudisha madaraka kwa wananchi, wananchi wanakuwa kama wanahisa kwenye kampuni kwa hiyo wana uwezo wa kufanya mabadiliko wayatakayo ili kuijeletea maendeleo, kamwe ccm yetu hatutakubali hili maana wananchi wakiwa tu na nguvu ina maana mirija yetu ya ulaji, utesaji watu, uonevu, uuaji nayo umungu mtu itakatika na ndiyo maana tushasema kamwe hatutaitoa nchi kwa kipande cha karatsi yaan kura.

Sisi CCM tunataka tukijenga barabara kwa kutumia kodi za wananchi na hapo tumeiba 70% , basi wananchi wajue tumewafanyia hisani tu wala halikuwa jukumu letu na kwa hiyo wanapaswa kutuabudu.
 
Hofu tena? Mbona kauli mbiu ya chadema ni "no hate ni fear?
Na walisema wako tayari hawaogopi lolote
Na walisema wako tayari hawaogopi lolote...kama wewe ni mpuuzi na muongo ni heri utunze kumbu kumbu. Leo unaongea wao, jana uliongea sisi, keshokutwa utaongea nini? Tatizo huko CCM ni kukosa akili, chama hicho hakika kina laana.

Hiyo laana ndiyo inalitafuna taifa letu pendwa, kisiwa cha amani. Mnapowasukumizia vichaa na wehu madaraka mkitegemea nini? Mnapong'ang'ania kwa nguvu madaraka huku hamna uwezo, sifa, hekima wala busara mnategemea nini?

Kuteka, kutesa na kuua kwa kuwa mna dola mradi vichaa wabaki madarakani hata kama hawapendwi ni busara kweli. Kumbuka kichaa hana rafiki, hamjui ndugu, hampendi jirani...ooh! Masikini Tanzania, my heart bleeds for you, why but oh why!
 
inawezekana kampeni za 2025 zitarudia kuahidi maji na barabara kama zilivoanza 1995

hakuna jipya litakalokuja hali itakua hivi hivi tu
 
..Tundu Lissu ametukumbusha kauli ya Sir Winston Churchil " never was so much owed by so many to so few " akielezea umuhimu wa uadilifu na uimara wa mawakala wa uchaguzi wa Cdm kesho siku ya kupiga kura.

..Hata Ben Mkapa hakuwa polished as an orator or public speaker wakati akigombea Uraisi kwa mara ya kwanza mwaka 1995.

..Tunahitaji Raisi anayewa-inspire waTanzania, na atakayewaunganisha, kama anavyofanya Tundu Lissu.
 
CHADEMA watajutia sana kwa nini walimsimamisha Lissu
Wangemsimamisha Nani? Na kama kujuta ni majuto yao...uchaguzi ukiopita wako walisema watajuta kwa kumuweka mamvi... Sasa kila mtu atasema lake
 
Election Day is tomorrow.

I was told by the JF powers that we can’t make predictions about it.

So I’m not gonna make a prediction one way or the other.

But let’s face it, most of us already know it’s a fait accompli, in regards to who will ‘win’.

Time to look forward to 2025.

I don’t expect much to be different in the next election cycle.

For, if you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.

2025 panapo majaaliwa, tutajikuta hapa hapa tulipo leo, na pale pale tulipokuwa 2015, 2010, 2005, 2000, na 1995.

Pia, nimegundua kuwa hata makamanda nao uhalisia umeanza kuwaingia na wameanza kukubali kile ambacho baadhi yetu ambao hatujalewa u-vyama, tumekijua tokea 1995.
What a confused mind?

"...baadhi yetu ambao hatujalewa u-vyama"; lakini kuna kulewa "ukabila"?

Mengine yaliyoandikwa hata hayana maana yoyote. Just beating about the bush aimlessly!
 
What a confused mind?

"...baadhi yetu ambao hatujalewa u-vyama"; lakini kuna kulewa "ukabila"?

Mengine yaliyoandikwa hata hayana maana yoyote. Just beating about the bush aimlessly!
🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿
 
Sio kila mtu ni chadema..
Mimi siendi KUPIGA KURA..
Masuala ya kupishana na mapolisi wameshika mabunduki sijazoea Bora nilale
Hofu tena? Mbona kauli mbiu ya chadema ni "no hate ni fear?
Na walisema wako tayari hawaogopi lolote
 
Back
Top Bottom