Ukweli uko hapa tu na wala haihitaji kubishana..maana kinyume cha hii statement ndo mabadiliko yataonekana.. otherwise this statement is vivid.If we always do what we’ve always done, we’ll always get what we’ve always got.
Nini maana yake?
Tukiendelea kufanya chaguzi zetu namna tuzifanyazo sasa, ‘washindi’ na ‘washindwa’ wataendelea kuwa ni wale wale tu...
Mkuu fikiria Lisu anaenda Zanzibara na kubwatuka kwamba chadema haina maslahi na Zanzibar! Na huyo ni mgombea urais wa tz kumbuka!
Sasa mtu kama huyo unategemea ataungwa mkono na vyombo vya usalama ili akabidhiwe nchi kweli?
Na walisema wako tayari hawaogopi lolote...kama wewe ni mpuuzi na muongo ni heri utunze kumbu kumbu. Leo unaongea wao, jana uliongea sisi, keshokutwa utaongea nini? Tatizo huko CCM ni kukosa akili, chama hicho hakika kina laana.Hofu tena? Mbona kauli mbiu ya chadema ni "no hate ni fear?
Na walisema wako tayari hawaogopi lolote
They’ll change by themselves?Don't fix people, don't fix situations, things will change to the amazement of many.
You seem not to believe there are humans in this country!They’ll change by themselves?
Wangemsimamisha Nani? Na kama kujuta ni majuto yao...uchaguzi ukiopita wako walisema watajuta kwa kumuweka mamvi... Sasa kila mtu atasema lakeCHADEMA watajutia sana kwa nini walimsimamisha Lissu
What a confused mind?Election Day is tomorrow.
I was told by the JF powers that we can’t make predictions about it.
So I’m not gonna make a prediction one way or the other.
But let’s face it, most of us already know it’s a fait accompli, in regards to who will ‘win’.
Time to look forward to 2025.
I don’t expect much to be different in the next election cycle.
For, if you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.
2025 panapo majaaliwa, tutajikuta hapa hapa tulipo leo, na pale pale tulipokuwa 2015, 2010, 2005, 2000, na 1995.
Pia, nimegundua kuwa hata makamanda nao uhalisia umeanza kuwaingia na wameanza kukubali kile ambacho baadhi yetu ambao hatujalewa u-vyama, tumekijua tokea 1995.
🖕🏿🖕🏿🖕🏿🖕🏿What a confused mind?
"...baadhi yetu ambao hatujalewa u-vyama"; lakini kuna kulewa "ukabila"?
Mengine yaliyoandikwa hata hayana maana yoyote. Just beating about the bush aimlessly!
Hofu tena? Mbona kauli mbiu ya chadema ni "no hate ni fear?
Na walisema wako tayari hawaogopi lolote