Uchaguzi 2020 It is a fait accompli

CCM siyo ma-genious wa kuiba kura duniani. Tatizo ni ujinga wa watanzania. Hebu wachukue CCM waende Marekani tuone kama wataiba hata kura moja.


 
Naona ile lugha ya "hapapatosha, tutaingia barabarani, tutalinda kura kwa gharama yoyote, tutakiwasha" imepotea kabisa. Tatizo nini?
 
Magufuli ni hopeless sinner!

Mara zote duniani kufunga mitandao na internet, kutumia jeshi na intelligence katika kuendesha uchaguzi ndiyo imekuwa silaha ya mwisho ya madikteta wote waliokuwa wanakaribia kuanguka madarakani.

I never thought CCM inaweza kuja kuanguka kwa style hii na kwa mbinu za kijinga hivi.
 
Bila tume huru ccm atasumbua siku zote

Si tume huru tu, bila kuwepo demokrasia na uhuru kwenye vyama vyetu tutaendelea kulia.
Wananchi wanahitaji kuona tofauti yako na huyo unayetaka kumtoa kiuhalisia.

Magufuli anatuhumiwa kuwa dikteta, lakini kwa wale wabunge waliofukuzwa kwa kutotii amri ya mbowe kususia bunge unaitenganisha vipi na udikteta?

Tuonesheni utofauti wenu tuwaamini.
 

Kaka,

Dakika za mwisho tembo anakwenda kuangushwa.

Ilibidi maagizo yale yatekelezwe kwakua alikuwa na nguvu ya Urais.

Masaa machache yajayo, tarajia lolote.

TAL is the next President to be
 
Uchaguzi wetu ni Free and Fair?
 
Makamanda ndembendembe, siku za nyuma walikuwa wanajaza comments humu kuwa hatutakubali. Sasa hivi wamekuwa wapole, sijui nini kimewatokea wanasema "ila ccm wamejifunza"
we gasho atleast cku hz naona umetoa logo ya chadema...
 
Cry the beloved country
 
Utopolo
 
Hizi ni akili za kitumwa na watu waliokata tamaa ya mabadiliko. Ingalikuwa akina Nyerere wana akili hizi, tusingewahi kupata uhuru.

Kwahiyo unabariki huu ukandamizi mpaka milele?

Haikubaliki hata kidogo, tunahitaji mabadiliko na itabidi kuamini na kufanyia kazi kwamba tutayapata
 
Kama wapinzani wataendelea kuwa wanaharakati badala ya siasa, the status quo will go beyond 2025.
No hawataendelea, Chadema tayari wameisha shauriwa hapa, tena huyo aliyewashauri ni mshauri wao, wa enzi za Dr. Slaa, akawasusa Dr alipojitoa sasa amerudi na kuwashauri...
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…