It is a pity BIG SHOTS in the government mnaona Tanganyika inateketea mnafurahi na your inner circles kwa vile mnàpata kilicho chema mifukoni?

It is a pity BIG SHOTS in the government mnaona Tanganyika inateketea mnafurahi na your inner circles kwa vile mnàpata kilicho chema mifukoni?

Ujumbe wangu ni huo! Unaeleweka na wala hauhitaji maelezo
SAVE TANZANIA/TANGANYIKA
Wakati Nyerere anafuata zazibar kuungana alidhani ndo atainyonya na kufunikwa kabisa na indentity yao kama wazazibar itafutika watakua dominated na kumezwa na Tanganyika, but now its the reverse, what goes round comes round!!!!! Tukubaliane na hiyo status quo yasasa... wazazibar wanauzalendo watanganyika ni machawa.
 
Just a matter of time before Zanzibar is completely changed. It is a slow but very systematic project.
 
It is a pity BIG SHOTS in the government mnaona Tanganyika inateketea mnafurahi na your inner circles kwa vile mnàpata kilicho chema mifukoni?
Inasikitisha sana.
Watanganyika wenye nafasi ya kuisemea wamekosa uzalendo, wamekuwa machawa wa watesi wa Tanganyika
 
Just a matter of time before Zanzibar is completely changed. It is a slow but very systematic project.
Muungano haukua kwa nia njema kwa wa zazibar ila humebadilika ukawa mchungu kwa wa Tanganyika na neema kwa wazazibar, soon or later zazibar itakua itakua independent country na Dubai ya Africa mashariki, badala ya kuenda Chna au UAE kufanya biashara tutakua tunaenda Zenji believe me.....Tanzania bara itabaki kua soko la zazibar na dili za siasa.wazazibar wako determined en serious na nchi yao hata kwa kujitoa muanga.
 
Ukishindwa kutumia rasilimali zako ambazo zipo ardhini wewe kila siku unaona fahari kumnyooshea kidole jirani yako maana yake wewe una upungufu mwingi kichwani mwako.

Tanganyika huku mikoani tajiri sana ardhi imejaa kila unapopita na gari kushoto na kulia imejaa ardhi ya kijani kibichi. Anayelalamikia Zanzibar ambayo kwa eneo ipo sawa na wilaya mbili za mkoa wa Morogoro huyo inapaswa ajitazame vizuri sana.

Ukweli ni kwamba sisi tunawanyonya wao kuliko ilivyo dhana ya kwamba wao wanatunyonya sisi.
 
muslims dont think that way, siku mkija kuamka na kujua jinsi muslims wa tanzagiza wanavyofikiri labda ndiyo mtapata ukombozi wa kweli, mulisms dont believe in a nation, idea of nations is Christian ni kwamba tu muslims walikumbwa sababu wa ukoloni wakajikuta wako ndani ya taifa moja lkn hawana mambo ya taifa bali wanaamini (mulims) katika ummah kwa hiyo mambo ya sijui tanganyika hayo ni yenu they dont see it that way, kwa kifupi its big club and you aint in it ...
 
Kuna matikiti maji kule juu, yapo yapo tu! Yaani yamekubali nchi yao iangamizwe, kwa sababu tu yanapozwa kwa vijisenti vya hapa na pale. Yamekosa uzalendi na uchungu kwa nchi yao, na badala yake yamekubali kutumiwa toilet paper!
 
Wagalatia mlalolomaloloma kila siku maisha magumu, ukweli nyinyi ni wazembe na wavivu mlishazoea kupewa vikazi vya serikali mtumishi daraja la II na vikazi vya utarishi. ,maisha yamebadilika lakini bado mnakaa vijiweni siku nzima bila kujishughulisha mkitegemea ajira poto itatema ajira, Acheni uvivu nyinyi wazembe sana na mkipata hivo vikazi mnaenda kuiba haswa, nyinyi mmekuwa ni kansa ya hii nchi tokea uhuru
 
Muungano haukua kwa nia njema kwa wa zazibar ila humebadilika ukawa mchungu kwa wa Tanganyika na neema kwa wazazibar, soon or later zazibar itakua itakua independent country na Dubai ya Africa mashariki, badala ya kuenda Chna au UAE kufanya biashara tutakua tunaenda Zenji believe me.....Tanzania bara itabaki kua soko la zazibar na dili za siasa.wazazibar wako determined en serious na nchi yao hata kwa kujitoa muanga.
Hii inachoma kumoyo mkuu

Yaani, nimeumia umia umia saaana, na safari ya yote hii kwa Zanzibar kuwa mfano wa Dubai, ni mali za Tanganyika
 
Mi niko mahali fulani bandari isiyo rasimi, aisee, inapitisha vitu lukuki vya ujenzi, malori na malori yanapishana usiku na mchana, hii ni miaka yote tangu utawala wa mwenda alipoenda

Kokoto, milunda, mchanga,

Ukisikilizia wadau wanasema, Matherr anaijenga Zenjiri
 
Hivi wewe unafikiri waziri wa fedha wa sasa na Mzanzibar kwa bahati mbaya?

Unajua ni kiasi gani wanahamisha kwenda huko?
Imani potofu inayochanganyika na ubaguzi ndani yake. CAG wa Mwalimu Nyerere alikuwa Mzee Aboud Mohamed mzanzibari, alihamisha shilingi ngapi kwenda huko Zanzibar?.

Punguzeni mawazo ya chuki na ya kibaguzi hayana msaada wowote zaidi ya kuhamasisha fitina ya umma wa mitandaoni.
 
muslims dont think that way, siku mkija kuamka na kujua jinsi muslims wa tanzagiza wanavyofikiri labda ndiyo mtapata ukombozi wa kweli, mulisms dont believe in a nation, idea of nations is Christian ni kwamba tu muslims walikumbwa sababu wa ukoloni wakajikuta wako ndani ya taifa moja lkn hawana mambo ya taifa bali wanaamini (mulims) katika ummah kwa hiyo mambo ya sijui tanganyika hayo ni yenu they dont see it that way, kwa kifupi its big club and you aint in it ...
Mkuu naomba utupe reference ya nchi yoyote ya waislamu ambao haina notion ya utaifa wao, waarabu wote wanautaifa wao hata hawataki mtu mgine aupate ni wabaguzi na wabinafsi, wanataja uislamu pale nchi zao zikiwa na changamoto za kimataifa tu.
 
Back
Top Bottom