It is stupid to compare Mwanza to Mombasa

Mwanza na airport Kibanda utaanzaje kufwananisha na Mombasa? [emoji23]. Mwanza Linganisha na Lodwar. Very pathetic
Sasa wewe kweli hii takataka ndio ya kufananishwa na Mwanza? Really?

Kimji kenyewe ni 294 kmΒ² with 97% slums area

Utaeza shindana na Mwanza yenye 9,467 km² while slum is a myth? 🀣🀣🀣🀣

Tafuteni level zenu aisee

 
Majengo ya kizamani balaa toka mwarabu anatwala hapo
 
Mombasa ni mji wa mashoga huwezi linganisha na mji wa wanaume Mwanza. Nyie nyang'au vipi.
 
Siku moja nitakuletea maendeleo yaliyofikiwa buza utashangaa sana, usione watu wanaongelea buza hovyo ukadhani ndo kama kibera, just wait one day nitaenda kupiga picha nikuwekee hapa ushangae [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Majority of Mombasa people and Kenyans generally live in slums and throat cutting poverty
Extreme poverty mtanzania lazima utafute pakutokeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚., Dar is 85% shitty lifestyle, tufunze tu Kiswahili tutashukuru kaka, Tz bado sana, unateseka sana kuona Kenya above Tz and it will remain like that hadi mwisho wa dunia.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

"...ni uchungu! lakini itabidi uzoee.."
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kenya is the only country with a striving slum tourism business, please tell me why?.... πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Sasa unaniletea uchungu mimi ndio miguna niliosema hayo? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Au njaa imepanda kichwani? πŸ˜‚
 
Sasa mombasa si kama bagamoyo tuu
Sababu moja ya kuwadharau wana 255 ni kuwa hata wakiona kaukweli fulani, badala ya kujitetea kiungwana, wao hujifumba macho na kujifanya hamna kitu. Na Asiyekubali kushindwa si mshindani. Mi watu ka hao hata huwa sina wakati wa kuharibu na wao. Waeza ona mtu na akili zake akilinganisha Msa na Mwanza. You can't always live in denial otherwise you will never progress.
 
Ati 2029?Kwahyo unategemea kuna siku mombasa itaizidi Dar kwa miundombinu?
Kabla ya huo mwaka 2029 SGR itakua ishafika mwanza (electrified SGR ) ,by 2030 Dar itakua imekamilisha phase zote 6 za BRT, Do you know kibaha highway itaendelea kutanuliwa hadi chalinze in btn 2020-2025 izo ni 75km 8lanes kenya nzima hamna barabara ndefu kiasi iyo...so kabla ya 2025 Dar itakua zimejengwa flyovers sio chini ya 9 .and minds you dar port inaendelea kutanuliwa ...Wewe unaijua JNIA T3? Hub of airtz...mombasa even nairobi hamna terminal ya maana kama iyo sasa sijui mnazungumzia kitu gani
 
Masomo ni ya maana sana. Yaani mpaka leo mbongo hajui maana ya mji (town) na eneo (province/region). Hayo ni mambo mawili tofauti. Hata africa nzima hakuna mji wenye eneo kubwa hivyo may be the likes of new York, Sao Paulo etc. Even Nrb and Dar are around 600km2.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unajua tofauti ya Region na County? Nani aliesema town?

Sasa kama County nzima ni kama certain home backyard, tukisema Metropolitan area si kitakua kama someone's veranda?

 
Unajua tofauti ya Region na County? Nani aliesema town?

Sasa kama County nzima ni kama certain home backyard, tukisema Metropolitan area si kitakua kama someone's veranda?

View attachment 1652214
294.7 is the size of Msa only, though the metropolitan area consisting of satellite towns is much bigger. Let's focus on town limits only. Kigali is more advanced than Mwanza yet has a population of a million people at 730km2 and this includes the rural area of Kigali. 6000km2 plus is not the size of a town(assuming you know what this size means!!!) Ni kumaanisha ukubwa wa Mwanza ni 80km urefu kwa 80km upana(nafikiri unajua urefu as 80km unatoshanaje!!!). Nimeangalia picha as video angani Mwanza, na. mi huona tu mji mdogo sana, sijui hesabu ndio shida au ni nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…