Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawa na nyinyi tu..ati tanga, huku kwetu tanga ni viatu vingine vya hovyo sana.Mmmh yaani Kenya mna majina ya hovyooooo two Lodwar. Hiyo si dawa ya kuharisha.
Sasa wewe kweli hii takataka ndio ya kufananishwa na Mwanza? Really?Mwanza na airport Kibanda utaanzaje kufwananisha na Mombasa? [emoji23]. Mwanza Linganisha na Lodwar. Very pathetic
Majengo ya kizamani balaa toka mwarabu anatwala hapoi) Port ya 4 kwa ukubwa afrika iko mombasa, kubwa kushinda port zote 4 za Tanzania zikiwekwa pamoja.
ii) Mombasa na nairobi ndizo miji ziko na sgr inayotumika katika eac.
iii) Mombasa sahi KPA inajenga office bock kubwa afrika ya mashariki
iv) Mombasa iko mbioni inafata Nirobi kwa miundo mbinu afrika mashariki.
v) Kuanza 2029 mombasa commuter rail phase 1 itakuwa inaanza kwa kasi, hapo dar bado watakuwa wanang'ang'ana kumaliza phase 2 ya BRT.
vi) Kufikia 2029 Mombasa itakuwa na viwanda nyingi kushinda Nairobi kwa sababu ya dongo kundu sez. Dar bado watakuwa wanakimbizana na vyerahani.
Naona kulinganisha mombasa na mwanza ni kutusi mombasa, kwa huu mda hata dar es salaam haifikii mombasa kwa miundo mbinu.
Sasa wewe kweli hii takataka ndio ya kufananishwa na Mwanza? Really?
Kimji kenyewe ni 294 km² with 97% slums area
Utaeza shindana na Mwanza yenye 9,467 km² while slum is a myth? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tafuteni level zenu aisee
View attachment 1641952View attachment 1641953View attachment 1641954
Hiyo ni Mombasa sehemu gani?[emoji23][emoji23]
Mpumbavu uyo achana naye.Nakucheka tu,huijui tz unaijua dar
Siku moja nitakuletea maendeleo yaliyofikiwa buza utashangaa sana, usione watu wanaongelea buza hovyo ukadhani ndo kama kibera, just wait one day nitaenda kupiga picha nikuwekee hapa ushangae [emoji2][emoji2][emoji2]Uwongo upi, Rock City, Mwanza ndio imewaamsha ila palikua hovyoo sana, kwa Tanzania nje ya Dar labda unitajie A-city ndio huwa imechangamka kiaina, hiyo nchi yenu nimekatiza katiza, watu mlioganda Buza tangu kuzaliwa hamjatoka hamuna lolote la kuniambia.
Majority of Mombasa people and Kenyans generally live in slums and throat cutting poverty
Kenya is the only country with a striving slum tourism business, please tell me why?.... 👇👇Extreme poverty mtanzania lazima utafute pakutokea😂😂😂., Dar is 85% shitty lifestyle, tufunze tu Kiswahili tutashukuru kaka, Tz bado sana, unateseka sana kuona Kenya above Tz and it will remain like that hadi mwisho wa dunia.😂😂😂
"...ni uchungu! lakini itabidi uzoee.."
😂😂😂😂
Sasa unaniletea uchungu mimi ndio miguna niliosema hayo? 😅😅😅Extreme poverty mtanzania lazima utafute pakutokea😂😂😂., Dar is 85% shitty lifestyle, tufunze tu Kiswahili tutashukuru kaka, Tz bado sana, unateseka sana kuona Kenya above Tz and it will remain like that hadi mwisho wa dunia.😂😂😂
"...ni uchungu! lakini itabidi uzoee.."
😂😂😂😂
ulitaka tuite Sumbawanga?Mmmh yaani Kenya mna majina ya hovyooooo two Lodwar. Hiyo si dawa ya kuharisha.
Sababu moja ya kuwadharau wana 255 ni kuwa hata wakiona kaukweli fulani, badala ya kujitetea kiungwana, wao hujifumba macho na kujifanya hamna kitu. Na Asiyekubali kushindwa si mshindani. Mi watu ka hao hata huwa sina wakati wa kuharibu na wao. Waeza ona mtu na akili zake akilinganisha Msa na Mwanza. You can't always live in denial otherwise you will never progress.Sasa mombasa si kama bagamoyo tuu
Ati 2029?Kwahyo unategemea kuna siku mombasa itaizidi Dar kwa miundombinu?i) Port ya 4 kwa ukubwa afrika iko mombasa, kubwa kushinda port zote 4 za Tanzania zikiwekwa pamoja.
ii) Mombasa na nairobi ndizo miji ziko na sgr inayotumika katika eac.
iii) Mombasa sahi KPA inajenga office bock kubwa afrika ya mashariki
iv) Mombasa iko mbioni inafata Nirobi kwa miundo mbinu afrika mashariki.
v) Kuanza 2029 mombasa commuter rail phase 1 itakuwa inaanza kwa kasi, hapo dar bado watakuwa wanang'ang'ana kumaliza phase 2 ya BRT.
vi) Kufikia 2029 Mombasa itakuwa na viwanda nyingi kushinda Nairobi kwa sababu ya dongo kundu sez. Dar bado watakuwa wanakimbizana na vyerahani.
Naona kulinganisha mombasa na mwanza ni kutusi mombasa, kwa huu mda hata dar es salaam haifikii mombasa kwa miundo mbinu.
Sasa wewe kweli hii takataka ndio ya kufananishwa na Mwanza? Really?
Kimji kenyewe ni 294 km² with 97% slums area
Utaeza shindana na Mwanza yenye 9,467 km² while slum is a myth? 🤣🤣🤣🤣
Tafuteni level zenu aisee
View attachment 1641952View attachment 1641953View attachment 1641954
Masomo ni ya maana sana. Yaani mpaka leo mbongo hajui maana ya mji (town) na eneo (province/region). Hayo ni mambo mawili tofauti. Hata africa nzima hakuna mji wenye eneo kubwa hivyo may be the likes of new York, Sao Paulo etc. Even Nrb and Dar are around 600km2.Sasa wewe kweli hii takataka ndio ya kufananishwa na Mwanza? Really?
Kimji kenyewe ni 294 km² with 97% slums area
Utaeza shindana na Mwanza yenye 9,467 km² while slum is a myth? 🤣🤣🤣🤣
Tafuteni level zenu aisee
View attachment 1641952View attachment 1641953View attachment 1641954
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Uwongo upi, Rock City, Mwanza ndio imewaamsha ila palikua hovyoo sana, kwa Tanzania nje ya Dar labda unitajie A-city ndio huwa imechangamka kiaina, hiyo nchi yenu nimekatiza katiza, watu mlioganda Buza tangu kuzaliwa hamjatoka hamuna lolote la kuniambia.
Unajua tofauti ya Region na County? Nani aliesema town?![]()
Mwanza Region - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
Masomo ni ya maana sana. Yaani mpaka leo mbongo hajui maana ya mji (town) na eneo (province/region). Hayo ni mambo mawili tofauti. Hata africa nzima hakuna mji wenye eneo kubwa hivyo may be the likes of new York, Sao Paulo etc. Even Nrb and Dar are around 600km2.
![]()
Mwanza Region - Wikipedia
en.m.wikipedia.org
294.7 is the size of Msa only, though the metropolitan area consisting of satellite towns is much bigger. Let's focus on town limits only. Kigali is more advanced than Mwanza yet has a population of a million people at 730km2 and this includes the rural area of Kigali. 6000km2 plus is not the size of a town(assuming you know what this size means!!!) Ni kumaanisha ukubwa wa Mwanza ni 80km urefu kwa 80km upana(nafikiri unajua urefu as 80km unatoshanaje!!!). Nimeangalia picha as video angani Mwanza, na. mi huona tu mji mdogo sana, sijui hesabu ndio shida au ni nini.Unajua tofauti ya Region na County? Nani aliesema town?
Sasa kama County nzima ni kama certain home backyard, tukisema Metropolitan area si kitakua kama someone's veranda?
View attachment 1652214