IT ni kama taaluma nyingine kama U daktari, Uhandisi au Ualimu
Wenyewe haukufanyi uwe tajiri. Hao kina Mark Zuckerberg na Bill Gate ulio watazama kama mifano, moja hawakusomea IT kama Taaluma, na mbili sio IT iliyofanya wawe matajiri bali ni Entrepreneurship iliyochukua fursa ya soko la Personal computer (kwa Bill Gate) na technology ya World wide web (kwa Zuckerberg)
Pia tambua kuwa kuja na idea ni kitu kimoja, na kuifanya idea yako iwe product iliyofanikiwa sokoni ni kitu kingine
Wenzetu wana ecosystem nzuri mno ya kukuza kampuni changa / startups
Kuna startups marekeni zinapewa pesa nyingi ya kujiendesha kuliko pesa walizotoa DP Worlds kununua bandari zetu hapa
Na wana uwezo wa kuendelea kui support miaka mingi bila Faida
Hapa Tanzania kuna aina hio ya Ecosystem? Nani ni Angel investor hapa? Venture capital?
Jambo jingine, IT industry ya Marekani ni profitable kuliko nchi yoyote ile, so demand ya IT ni kubwa, hivyo mshahara wao ni mkubwa kuliko huku ambapo demand sio kubwa
The reason huku demand sio kubwa ni kwa sababu wafanyabishara wa huku hawaja ona value kubwa kwenye sekta ya IT, biashara zao bado ni Local
Mo anauza Juice na vibiriti.
Halafu hata logic yako bado ni ya kijinga, kutaka IT wa Tanzania wawe na mafanikio sawa na IT wa Marekani
Naweza tumia logic yako kusema Matajiri wa Bongo ni kituko, mbona hawapo top 100 ya Forbes?
Wewe ni taaluma gani kwani? Na una mafanikio kiasi gani?