Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu huwa najiuliza lakinj sipati jibu. Hivi shida ni nini haswa mpaka kupelekea hii mifumo kila sekta kuwa sio stable.Tra, polisi, nida,kote huko utaambiwa mtandao unasumbua,unajiuliza kwani ni mtandao usumbue, mbona kuna data centre/saver za, ma kampuni ya cm, kama To go, voda,wanaopata huduma huko, mtandao hausumbui? Data traffic za sound, SMS, financial transaction zinazopita kwenye saver za tigo,laiiti ingekuwa ni saver za Serikali basi, mtandao ungegoma mwezi mzima,
Huko Tigo na voda hakuna shida, kwanini Serikali kama imeshindwa kuwa na saver/data centre zenye uwezo mkubwa kwanini wasiombe msaada toka tassisi binafsi?
Kampuni kama Tigo, Ina data centre nne kubwa!! Kwa ajiri ya kusimamia system, Serikali Ina data center moja, na midumo yote nchi mzima, ikiwa on, lazima saver izidiwe!!
Nchi Ina mikoa 26! Kila mkoa watu 50 wakilogin kwenye system Ku tafuta nida, leseni,nk, kila kitu kita stuck kama tecno ya mchina,
Wekeni mfumo mzuri kama wa polisi loss report, upo faster tu,
Shida upigaji upo tu