sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Elimu bomu ni kukariri tuHata maengineer hawajawahi kuvumbua chochote. Hata madaktari sidhani kama kuna chanjo yoyote au dawa wamewahi kuvumbua. Ni janga la kitaifa so unawaonea bure.
Halafu wanajiita vipanga na kuwaona wengine vilazaelimu bomu ni kukariri tu
Tumekomalia kwenye pass marks , matokeo yake tunazalisha watoto wenye ugaulu wa juu na ubunifu sifurielimu bomu ni kukariri tu
Wahenga wanasema debe tupu haliwachi kutika, watu waliofanya makubwa hapa duniani wengi hawana dharau kwa wenzao.Halafu wanajiita vipanga na kuwaona wengine vilaza
Ndio elimu yetu ilivyo.elimu bomu ni kukariri tu
Yaani haiingii akilini jitu linaanza form 5 huku limeshamaliza kusoma topic zote mpaka za form 6.Wahenga wanasema debe tupu haliwachi kutika , watu waliofanya makubwa hapa duniani wengi hawana dharau kwa wenzao.
mpaka walimu ni vopy paste notes copy paste ast pqpers wanafunz wanaoreview paperw ndo vichwa na co wanaoelewaNdio elimu yetu ilivyo.
Hata maengineer hawajawahi kuvumbua chochote. Hata madaktari sidhani kama kuna chanjo yoyote au dawa wamewahi kuvumbua. Ni janga la kitaifa so unawaonea bure.
Hii Nchi yako ni ya kingese ukifukunyua kuna lidude linaitwa Cybercrime Act na jamàa wanafundishwa Cyber Laws kwamba ukivuka kipengele hiki adhabu ni hii na hii, kufupisha story ukijifanya unachezea mifumo au unabuni mifumo ambayo itaikosesha Serekali mapato kwa njia ya mtandao jiandae aidha kwenda kunyea debe Maisha au ukae nyuma ya Nondo miaka 30+lakini hawana uwezo wa kutatumia maarifa hayo lau kutumia free net kama nchi zingine.
aiseekutumia free net
ICT centers jiulize tu kuna kitu kinaitwa bodi ya Tehama ipo ipo tu, mtu unamaliza IT ICT Computer Science inabidi ukasajiriwe kule km kuna michongo na michango uweze kupewa na kuchangia Ila process za kujiunga hazijulikani na wenyewe hawaelezi taratibu zipoje wamekaa kaa tu wanakula kiyoyoziMnalaumu bure bila kujua mifumo ya nchi ikoje, mtu anawezaje kufanya innovation zake bila ya kuwa na vifaa vya uhakika?
Wapi kuna ICT centers wanapokutana ITs kujadiliana na kufanya innovation zao?
Wapi ITs wanaweza kupata support kwa ideas zao?
Dunia ya sasa ilivyokuwa na maarifa yote ni wewe tu na simu, computer na bando la internet.Hata maengineer hawajawahi kuvumbua chochote,
Hata madaktari sidhani kama kuna chanjo yoyote au dawa wamewahi kuvumbua.
Ni janga la kitaifa so unawaonea bure.