Mkuu hakuna kinachouma kama mke kakangu namjua vzr,anayetaka kumwaharibu kakangu siwezi kukubali hata siku moja siwezi kukaa kimya kitu ambacho naona kinaweza kumletea shida kakangu kama nitaendelea kumficha kitu kakanguthink about the outcome mr
Kweli ukweli wala sina shaka kabisaKama unaona ni lazima ufikishe taarifa. Ila unaweza onekana fala sana, na undugu wenu ukaishia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unaona ni lazima ufikishe taarifa. Ila unaweza onekana fala sana, na undugu wenu ukaishia hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa bro hachepuki huko anakoenda ,ww ondoka nyumbani acha kufatilia maisha ya Shemeji yako kaoe ,ule maisha ,are sure bro wako hachepuki huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka yako ni damu yako, huwezi kuacha ndugu yako apotee kwa sababu tu eti hutaki ndoa ivunjike....usije kujilaumu pale shemeji atakapokuwa ameleta Ukimwi nyumbani.
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Utaweza kweli kufungua kituo cha mafuta wewe?
Nashangaa watu wanavompingaKaka yako ni damu yako, huwezi kuacha ndugu yako apotee kwa sababu tu eti hutaki ndoa ivunjike....usije kujilaumu pale shemeji atakapokuwa ameleta Ukimwi nyumbani.
Napendwa na mke wa mtu mpaka naumia moyo - JamiiForums
Mkuu Umeandika nilicho kuwa nataka kuandika.Kwa bro hachepuki huko anakoenda ,ww ondoka nyumbani acha kufatilia maisha ya Shemeji yako kaoe ,ule maisha ,are sure bro wako hachepuki huko
Sent using Jamii Forums mobile app