J putin
JF-Expert Member
- Oct 5, 2018
- 1,263
- 1,206
- Thread starter
- #21
Mkuu hakuna kinachouma kama mke kakangu namjua vzr,anayetaka kumwaharibu kakangu siwezi kukubali hata siku moja siwezi kukaa kimya kitu ambacho naona kinaweza kumletea shida kakangu kama nitaendelea kumficha kitu kakanguthink about the outcome mr
Sent using Jamii Forums mobile app