Halafu pia msema kweli ni mpenzi wa MUNGU.Penye ukweli wala sina shaka kabisa bora niseme ukweli na ukweli unamweka mtu huru
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mi nakaa kwanguI quote, 'Hata nikimwambia Kaka, hakuna ninayemtegemea kwa sasa'
Umekaa kwa kaka yako weeee, ukapikiwa na shemeji yako sasa hivi badala uondoke kwa amani unataka uache umevuruga ndoa yake.
Usisikilize maneno ya watu mwambie kaka yako ukikaa kimya wakati shemeji yako anagegedwa kila siku ndio utakuwa fala we mwambie atajua mwenyewe la kufanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sisi kutembea na mke wa kaka ni mwiko,sitaki kufa kwa kutaka ,kwanza siwezi kabisa kakangu mkubwa ni kama babanguHalafu pia msema kweli ni mpenzi wa MUNGU.
Ila Putin kwa kua kaka yako anasafiri mara kwa mara na shemeji yako nae atamani mtu wa kumkunakuna unaonaje mi niongee nae aachane na hao mabwege wengine, ila kipindi kaka yako atapokua amesafiri wewe uwe unasimamia show vzr mpk kaka akirudi unaonaje?
Maendeleo hayana chama
Basi shukuru Mungu shemeji anaweza kubadilika na kuachana na michepuko yake ila ingekuwa bodaboda wameshafanya yao hapo mngeandika maumivu tu wote wewe pamoja na kaka yako.
Wa mwisho ana miaka kumi na nane huyo ni mtu mzima miaka kama miwili ataondoka kwenda kupanga au kakaa peke yako,utalea mtu ana midevu yako,lazima niseme tu kwa kakaWw MTU mzima MKUU watu kwako kwenye ndoa 20 yrs unataka waachane so what utawalea watoto wewe!!!! I
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi shukuru Mungu shemeji anaweza kubadilika na kuachana na michepuko yake ila ingekuwa bodaboda wameshafanya yao hapo mngeandika maumivu tu wote wewe pamoja na kaka yako.
Maendeleo hayana chama
Kweli kabisa mke wa kaka anauma sana asikwambie mtu tena akiwa mzuri halafu ana chura mnaweza mkagawana majengo ya serikali.Sawa mkuu,hata ww huwezi kumuona mke wa kakako anatafunwa alafu ukakaa kimya,nadhani hata risasi unaweza kumtwanga mtu
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora niseme ili masikio yake yafunguke,sina cha kupoteza mkuu,huyu kakangu najua mali zake hata mke wake hajui ,nyumba zake ninazo hati zote na mimi ndo natunza kila kitu nadhani mke wake ana robo tu ya mali zake, kwa hiyo anapotaka kuleta ujinga kwa kakangu lazima nimwambie kakaKama shem wako anaruka na kaka ako hajanotice, basi huenda amepewa limbwata. Bora uwaache tu. Utasema, kaka ako hatochukua hatua na mwisho wa siku wewe ndiwe utakayeonekana mbaya! Nakushauri tu, stay out of this.
Tafuta mshikaji wake wa karibu umwambie achonge naye! Usijiingize kwenye matatizo yasiyo kuhusu.Bora niseme ili masikio yake yafunguke,sina cha kupoteza mkuu,huyu kakangu najua mali zake hata mke wake hajui ,nyumba zake ninazo hati zote na mimi ndo natunza kila kitu nadhani mke wake ana robo tu ya mali zake, kwa hiyo anapotaka kuleta ujinga kwa kakangu lazima nimwambie kaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mke wa kaka anauma sana asikwambie mtu tena akiwa mzuri halafu ana chura mnaweza mkagawana majengo ya serikali.
Maendeleo hayana chama
Kwa hio shemeji yetu nae mashaallah kajaaliwa sio?