Itabidi nimwambie tu kakangu ukweli

Itabidi nimwambie tu kakangu ukweli

Penye ukweli wala sina shaka kabisa bora niseme ukweli na ukweli unamweka mtu huru

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu pia msema kweli ni mpenzi wa MUNGU.
Ila Putin kwa kua kaka yako anasafiri mara kwa mara na shemeji yako nae atamani mtu wa kumkunakuna unaonaje mi niongee nae aachane na hao mabwege wengine, ila kipindi kaka yako atapokua amesafiri wewe uwe unasimamia show vzr mpk kaka akirudi unaonaje?

Maendeleo hayana chama
 
I quote, 'Hata nikimwambia Kaka, hakuna ninayemtegemea kwa sasa'

Umekaa kwa kaka yako weeee, ukapikiwa na shemeji yako sasa hivi badala uondoke kwa amani unataka uache umevuruga ndoa yake.
 
Umesema shemu wako ni mwanamke anaepewa kila kitu na bro wako ila umesahau kitu kimoja.....anamiss mapenzi, bro wako ni mtu wa kusafiri kila mara, sasa yeye atapata wapi huduma.
 
Halafu pia msema kweli ni mpenzi wa MUNGU.
Ila Putin kwa kua kaka yako anasafiri mara kwa mara na shemeji yako nae atamani mtu wa kumkunakuna unaonaje mi niongee nae aachane na hao mabwege wengine, ila kipindi kaka yako atapokua amesafiri wewe uwe unasimamia show vzr mpk kaka akirudi unaonaje?

Maendeleo hayana chama
Mkuu sisi kutembea na mke wa kaka ni mwiko,sitaki kufa kwa kutaka ,kwanza siwezi kabisa kakangu mkubwa ni kama babangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama shem wako anaruka na kaka ako hajanotice, basi huenda amepewa limbwata. Bora uwaache tu. Utasema, kaka ako hatochukua hatua na mwisho wa siku wewe ndiwe utakayeonekana mbaya! Nakushauri tu, stay out of this.
 
Threads zako nyingi unazo ziletaga hapa ni za kulalamika
 
Sawa mkuu,hata ww huwezi kumuona mke wa kakako anatafunwa alafu ukakaa kimya,nadhani hata risasi unaweza kumtwanga mtu
Basi shukuru Mungu shemeji anaweza kubadilika na kuachana na michepuko yake ila ingekuwa bodaboda wameshafanya yao hapo mngeandika maumivu tu wote wewe pamoja na kaka yako.

Maendeleo hayana chama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama shem wako anaruka na kaka ako hajanotice, basi huenda amepewa limbwata. Bora uwaache tu. Utasema, kaka ako hatochukua hatua na mwisho wa siku wewe ndiwe utakayeonekana mbaya! Nakushauri tu, stay out of this.
Bora niseme ili masikio yake yafunguke,sina cha kupoteza mkuu,huyu kakangu najua mali zake hata mke wake hajui ,nyumba zake ninazo hati zote na mimi ndo natunza kila kitu nadhani mke wake ana robo tu ya mali zake, kwa hiyo anapotaka kuleta ujinga kwa kakangu lazima nimwambie kaka

Tafuta mshikaji wake wa karibu umwambie achonge naye! Usijiingize kwenye matatizo yasiyo kuhusu.
 
Back
Top Bottom