Itabidi nimwambie tu kakangu ukweli

Kajitegemee mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shemeji yako ana miaka mingapi hivi sasa?
Kama ana 20yrs ndoani si atakuwa mmama wa kwenye early 40's?? Hio tabia ya kutombwa tombwa kwa umri huo mbona ni mbingu na nchi mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu najua inakela kuona Shem anaenda kutandazwa,ila ukitaka uishi kwa amani achana na hiyo habari,maana hata kaka kaka yako pia anachovya rungu huko,fanya yako vinginevyo utageuziwa kibao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mfano, Ukamwambia, wakagombana, then wakapatana, wewe ndo utaonekana adui, my friend, mambo ya mapenzi yaache km yalivyo, kazi zipo nyingi tu za kufanya usipende kuwa na free time ndo maana utajikuta unawaza mambo ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…