Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Sijajua nieleze vipi ila kwa ufupi nina sikitika sana kwa uamuzi ulionilazimu kuufanya,baada ya kuwa mmoja wa wale wanaopinga sana utumiaji wa njia za uzazi wa mpango,nami nikawa natumia njia ya asili,kwa takriban miaka miwili imenisaidia,ila mpk dk hii sijajjua nilipokosea lakini nimejikuta nikipata ujauzito wkt nahitaji bado kulea mtoto wangu kwanza.msinilaumu nipeni tu pole na kunishauri la kufanya,pia niambieni kama naweza kuendelea kunyonyesha mtoto niliyenae baada ya nilichokifanya.
Wenu aliokosa amani
Kama huna cha kukoment asante,pita tu kimya

Usiwe na wasiwasi. Nyonyesha hadi ujauzito ufike miezi saba.
Miaka miwili yote hiyo bado unamnyonyesha? Muachishe ziwa umletee mdogo wake...
we si wa kwanza wala wa kumi wala wa mia wala wa elfu kua katika hiyo situation... sioni cha ajabu hapo unajishtukia tu bila sababu ya msingi
Yaa unaweza kuendelea kumnyonyesha mtoto. Af miaka miwili sio tatizo mbona, wew jipange tu na anza kuandaa mazingira kwa huyo mtoto ajaye
Ndugu yangu MankaM ndio ni kwa masikitiko maana kweli sijakiweka wazi hapo nimeandika tu nilichokifanya bt ukweli nikwamba nimefanya uamuzi siwez sema ni mzuri au mbaya kwamaana nimeitoa,ndio maana naomba Mungu anisamehe kwa dhambi hiyo,kwanza sikuwa tayari tena,pili madocta walitushaur wakt najifungua kuwa tukae angalau miaka m3 maana nilijifungua kwa c section,pia hata eneo la kazi kama ujuavyo sekta binafsi wanataka mtu awe productive angalau kwa miaka mitati n si chini ya hapo.so hayo ndo niliyaconsider pamoja na kuwa tulipanga tupambane kwanza na mikakat ya kimaisha kabla ya kupata tena mtt mwingine.God plz forgive me.msinihukumu jamani,nimeumia sana na kulia sana
Nilikuwa naskia wanandoa ndo wanaongoza kwa kutoa mimba ila sikuwahi kujua kuwa na mm ipo siku itanitokea,nimeaffectika kisaikolojia,japo nakiri kuwa ningebaki nayo pia ningekuwa ktk hali mbaya kisaikolojia maana ningekuwa sijaipokea.ee mungu unirehemu