Solarpanel
JF-Expert Member
- Oct 9, 2012
- 235
- 38
Sijajua nieleze vipi ila kwa ufupi nina sikitika sana kwa uamuzi ulionilazimu kuufanya,baada ya kuwa mmoja wa wale wanaopinga sana utumiaji wa njia za uzazi wa mpango,nami nikawa natumia njia ya asili,kwa takriban miaka miwili imenisaidia,ila mpk dk hii sijajjua nilipokosea lakini nimejikuta nikipata ujauzito wkt nahitaji bado kulea mtoto wangu kwanza.msinilaumu nipeni tu pole na kunishauri la kufanya,pia niambieni kama naweza kuendelea kunyonyesha mtoto niliyenae baada ya nilichokifanya.
Wenu aliokosa amani
Wenu aliokosa amani