Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole mamie.....usijefeel guilty kihivyo...ndo ishatokea, huwezi kubadilisha hali kwa kujilaumu...
Mungu anasamehe kila kitu, omba msamaha kiukweli....hakika yeye ni mwingi wa kusamehe....
maelezo yako yote yanaonesha ubinafsi wako tu. mbona unajiangalia wewe tu na ha kudiriki kuua kwa maslahi yako. Je siku ukihitaji mtoto ukinyimwa? sioni sababu ya msingi.
Nenda katubu kanisani hapa JF hatuna mamlaka ya kusamehe dhambi
asante kwa kunipa moyo,it feels so bad.mimi na mume wangu tulilia sana na kwa waliosema tumekuwa wabinafsi sikati ni kweli tumekuwa wabinafsi tukayapa nafas matakwa yetu zaidi.ni uamuzi mgumu sana,itanichukua muda kusahau
Nakushauri,Ili Uweze kua free na shughuli zako nakushauri na huyo mtoto ulienae mlishe sumu afe ili ufanye kazi zako kwa uhuru.Ndugu yangu kwa masikitiko kweli hapo nilichokifanya nikwamba nimefanya uamuzi siwez sema ni mzuri au mbaya kwamaana nimeitoa,ndio maana naomba Mungu anisamehe kwa dhambi hiyo,kwanza sikuwa tayari tena,pili madocta walitushaur wakt najifungua kuwa tukae angalau miaka m3 maana nilijifungua kwa c section,pia hata eneo la kazi kama ujuavyo sekta binafsi wanataka mtu awe productive angalau kwa miaka mitati n si chini ya hapo.so hayo ndo niliyaconsider pamoja na kuwa tulipanga tupambane kwanza na mikakat ya kimaisha kabla ya kupata tena mtt mwingine. msinihukumu jamani,nimeumia sana na kulia sana
asante kwa kunihukumu,siwez kukataa hukumu hiyo,nachoomba Tu Mungu na kumuuliza ni kwann kila wakt namuomba Mungu na amesema tumuombe chochote atatupa?hakika mambo ya Mungu ni magumu kuyaelewa ukiyatafakari sana.nway nikienda mbali nitakufuru zaidi naomba tu nionshwe dhambi zangu
Nenda katubu kanisani hapa JF hatuna mamlaka ya kusamehe dhambi
Dada hakuna njia yeyote ambayo inazuia kupata mimba 100%,hata ile ya kufunga mirija haina 100% ni vema ukaendelea na kalenda ukianza za kisasa utakutana na madhara utakuja kujuta na kukumbuka kalenda.
Kwani amefanya dhambi gani?
Nakushauri,Ili Uweze kua free na shughuli zako nakushauri na huyo mtoto ulienae mlishe sumu afe ili ufanye kazi zako kwa uhuru.