Itabidi tu nitumie,na Mungu anisamehe

Itabidi tu nitumie,na Mungu anisamehe

maelezo yako yote yanaonesha ubinafsi wako tu. mbona unajiangalia wewe tu na ha kudiriki kuua kwa maslahi yako. Je siku ukihitaji mtoto ukinyimwa? sioni sababu ya msingi.
 
mmmmh!!!!!!!!!!!!!!
mweeh mie nalea kichanga wa 4 sasa kyeleuwiiiiii nafwa mie

sijui napenda kuzaa sijui napenda watoto ata sjielewi
bye naenda kunyonyesha
 
Pole mamie.....usijefeel guilty kihivyo...ndo ishatokea, huwezi kubadilisha hali kwa kujilaumu...

Mungu anasamehe kila kitu, omba msamaha kiukweli....hakika yeye ni mwingi wa kusamehe....

asante kwa kunipa moyo,it feels so bad.mimi na mume wangu tulilia sana na kwa waliosema tumekuwa wabinafsi sikati ni kweli tumekuwa wabinafsi tukayapa nafas matakwa yetu zaidi.ni uamuzi mgumu sana,itanichukua muda kusahau
 
maelezo yako yote yanaonesha ubinafsi wako tu. mbona unajiangalia wewe tu na ha kudiriki kuua kwa maslahi yako. Je siku ukihitaji mtoto ukinyimwa? sioni sababu ya msingi.

asante kwa kunihukumu,siwez kukataa hukumu hiyo,nachoomba Tu Mungu na kumuuliza ni kwann kila wakt namuomba Mungu na amesema tumuombe chochote atatupa?hakika mambo ya Mungu ni magumu kuyaelewa ukiyatafakari sana.nway nikienda mbali nitakufuru zaidi naomba tu nionshwe dhambi zangu
 
asante kwa kunipa moyo,it feels so bad.mimi na mume wangu tulilia sana na kwa waliosema tumekuwa wabinafsi sikati ni kweli tumekuwa wabinafsi tukayapa nafas matakwa yetu zaidi.ni uamuzi mgumu sana,itanichukua muda kusahau

I can understand how you feel mamie...be strong...ni mtihani tu umepewa, umefeli...haina haja ya kujilaumu...

Muelekee Mungu, mwambie umefeli mtihani aliokupa...muombe msamaha...

Amani ya moyo itawarudia pale mtapojiweka karibu na Mungu na mtapoamini mmesamehewa...

Usitishwe na hizi laana za JF....hakuna aliyemsafi....na Mungu hajawahi kuchoka kusamehe...
 
Pole kwa yaliyokukuta mpendwa ukweli hukufanya uamuzi mzuri lakin ndo imeshatokea cha kufanya ni kuomba toba kwa kumaanisha na Mungu wetu aliye mwingi wa hasira lakini mwepesi wa kusamehe atakusamehe.
Binafsi wife ana mtoto wa 1.7yrs na ana ujauzito wa 2months kunyonyesha tulimwachisha mtoto ila ni kitu ambacho kimetokea bila kutarajia kalenda ilitupoteza.
Wote ni watumishi hatuwezi kuchukua maamuzi magumu itatubidi tukabiliane na hali hslisi ndo changamoto za ndoa.
 
Ndugu yangu kwa masikitiko kweli hapo nilichokifanya nikwamba nimefanya uamuzi siwez sema ni mzuri au mbaya kwamaana nimeitoa,ndio maana naomba Mungu anisamehe kwa dhambi hiyo,kwanza sikuwa tayari tena,pili madocta walitushaur wakt najifungua kuwa tukae angalau miaka m3 maana nilijifungua kwa c section,pia hata eneo la kazi kama ujuavyo sekta binafsi wanataka mtu awe productive angalau kwa miaka mitati n si chini ya hapo.so hayo ndo niliyaconsider pamoja na kuwa tulipanga tupambane kwanza na mikakat ya kimaisha kabla ya kupata tena mtt mwingine. msinihukumu jamani,nimeumia sana na kulia sana
Nakushauri,Ili Uweze kua free na shughuli zako nakushauri na huyo mtoto ulienae mlishe sumu afe ili ufanye kazi zako kwa uhuru.
 
Tubu mpendwa.hakuna lugha ingine tofauti yaani wewe umeua mwanao...eti kwa ajili ya kazi..Tubu kwa dhati
 
Dada hakuna njia yeyote ambayo inazuia kupata mimba 100%,hata ile ya kufunga mirija haina 100% ni vema ukaendelea na kalenda ukianza za kisasa utakutana na madhara utakuja kujuta na kukumbuka kalenda.
 
asante kwa kunihukumu,siwez kukataa hukumu hiyo,nachoomba Tu Mungu na kumuuliza ni kwann kila wakt namuomba Mungu na amesema tumuombe chochote atatupa?hakika mambo ya Mungu ni magumu kuyaelewa ukiyatafakari sana.nway nikienda mbali nitakufuru zaidi naomba tu nionshwe dhambi zangu

pole sana inaelekea ulighafilika. Hayo maamuzi huenda usingeyatenda leo. Nakuombea kwa Mungu pia
 
Dada hakuna njia yeyote ambayo inazuia kupata mimba 100%,hata ile ya kufunga mirija haina 100% ni vema ukaendelea na kalenda ukianza za kisasa utakutana na madhara utakuja kujuta na kukumbuka kalenda.

hapa kuna ka ukweli flani ivi ngoja nika note down for future uses
 
Hell nah siwezi chagua kazii over my family...sikuhukumuu ila ni mtazamo tu!! Pole kwa stress
 
Nakushauri,Ili Uweze kua free na shughuli zako nakushauri na huyo mtoto ulienae mlishe sumu afe ili ufanye kazi zako kwa uhuru.

nachukia sana watu wanaotoa mimba kwa visingizio vya kijinga kama hivi.
 
Hakuna tatizo,ningependa kufahamu hiyo njia ya asili
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom