Kenya 2022 Itachukua miaka 1,000 Tanzania kufikia chaguzi za Kenya kama tutaendelea kuwa hivi

Kenya 2022 Itachukua miaka 1,000 Tanzania kufikia chaguzi za Kenya kama tutaendelea kuwa hivi

Kenya 2022 General Election

Mpwayungu Village

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
14,540
Reaction score
30,875
Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Afrika zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa. Inatia sana hasira kuona bongo bado tunapelekwa na CCM wanavyotaka nakutugeuza uchafu ebu oneni wenzetu Kenya mpaka saizi hujui Nani mmiliki wa jukwaa uchaguzi unafanyika kwa uhuru ukweli na uwazi mpaka kikwete anajiona uchi huko aliko.

Ndugu zangu watanzania hususani vijana tupigane kuleta demokrasia sasa maana hali hii imenitoa machozi kwakweli. Can you imagine naibu Rais William Ruto anampinga kwa fedheha Rais wake tena na viongozi wakubwa wanamuunga mkono na uchaguzi unafanywa kwa haki huku tume ya uchaguzi ikiwa very serious kwenye swala hili bila kutetea upande wowote ule. Watanzania tuamke mimi nawaambia hawa wazee akili zimezeeka kwanzia mama mpaka baba. CCM msituone makanyaboya.

1660109132858.jpg
 
Tanzania hatujawahi kuwa na Uchaguzi tangu nchi ipate uhuru bali huwa ni justification tu zinafanyika. Nitamshangaa sana Mtanzania atakayepoteza muda wake kwenye kupiga kura 2025 kwa katiba hii - yaani bora Ulale kama huna la maana la kufanya.
 
Tanzania hatujawahi kuwa na Uchaguzi tangu nchi ipate uhuru bali huwa ni justification tu zinafanyika. Nitamshangaa sana Mtanzania atakayepoteza muda wake kwenye kupiga kura 2025 kwa katiba hii - yaani bora Ulale kama huna la maana la kufanya.
Kwahiyo tuendelee kuwaacha wajichukulie madaraka kama ule uchaguzi wa serikali za mitaa walipojipitisha wao nchi nzima.
 
Kila siku nasema CCM ni majambazi hawataki watanzania wapate maendeleo wakenya wote kuanzia kwenye kitongoji hadi taifa wanajua kura za kila mgombea huku kwetu ujambazi ujambazi
Sio Kenya tu kaka yani ni nchi nyingi sana za Africa zimetoka kwenye ushamba wa kuiba kura walishagaona kuiba haiwezekani kwa sababu raia wanajua kila kitu lakini sisi du hii CCM walahi shetani ni mdogo kwenye dhambi.
 
Kwahiyo tuendelee kuwaacha wajichukulie madaraka kama ule uchaguzi wa serikali za mitaa walipojipitisha wao nchi nzima.
Njia pekee ni Elimu ya Uraia, hadi hapo majority ya raia wa Tanzania watapojua umuhimu wa Katiba. Ni jukumu la kwangu na la kwako - na hiki ndicho wamekuwa wakikifanya vyama vya upinzani atlest leo tumefika walau hapa.
 
Kwa sasa tafsiri ya Demokrasia ni ccm kushindwa.
Hapana mkuu bali watu wanataka tume huru ya uchaguzi ambayo itafanya kazi zake pasipo shinikizo la mtu yeyote.

Chaguzi ziwe huru sio mawakala wa vyama pinzani kufungiwa nje ya vyumba vya kuhesabia kura mara polisi kukimbia na mabox ya kura.

Huu ni uoga wa chama tawala ndo maana hawataki tume huru ya uchaguzi.

Unajiuliza kwanini ccm hawataki tume huru ya uchaguzi wakati ni kitu kizuri tu.
 
Uko sahihi sana mkuu. Huu uchaguzi wa Kenya kuna kitu unatufundisha
Nadhani kama watanzania hasa wasomi na wanaopenda kwa dhati maendeleo watakuwa wamejifunza kitu katika mchakato mzima wa uchaguzi kutoka kwa majirani zetu.

It's about time. Zoezi kama hili la sensa ni namna nzuri ya ku-practice matumizi ya digitali kurahisisha mambo, the same iende mpaka kwenye chaguzi zetu.
 
Back
Top Bottom