Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Afrika zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa. Inatia sana hasira kuona bongo bado tunapelekwa na CCM wanavyotaka nakutugeuza uchafu ebu oneni wenzetu Kenya mpaka saizi hujui Nani mmiliki wa jukwaa uchaguzi unafanyika kwa uhuru ukweli na uwazi mpaka kikwete anajiona uchi huko aliko.
Ndugu zangu watanzania hususani vijana tupigane kuleta demokrasia sasa maana hali hii imenitoa machozi kwakweli. Can you imagine naibu Rais William Ruto anampinga kwa fedheha Rais wake tena na viongozi wakubwa wanamuunga mkono na uchaguzi unafanywa kwa haki huku tume ya uchaguzi ikiwa very serious kwenye swala hili bila kutetea upande wowote ule. Watanzania tuamke mimi nawaambia hawa wazee akili zimezeeka kwanzia mama mpaka baba. CCM msituone makanyaboya.
View attachment 2319781