Hakika. Lakini hata Kenya, Zambia, Malawi, Ghana, … waasisi wao waliwarithisha mifumo ya ovyo ya kisiasa. Wao walipambana kuiondoa na kujiletea demokrasia ya kweli.Wa kumlaumu ni Nyerere aliyetengeneza mfumo uliopo
Sasa mkuu hapo umeshauri nini kuhusu jinsi ya kuikabili hiyo hali kama ikiendelea mpaka 2025. I thought you would come up with something advisable, sasa hata tusipoenda kupiga kura ndio CCM watagwaya?!Tanzania hatujawahi kuwa na Uchaguzi tangu nchi ipate uhuru bali huwa ni justification tu zinafanyika. Nitamshangaa sana Mtanzania atakayepoteza muda wake kwenye kupiga kura 2025 kwa katiba hii - yaani bora Ulale kama huna la maana la kufanya.
Nyerere alishasema katiba bomu lakini watu wakabunda tu, tatizo ni sisi wananchi ni wajinga.Wa kumlaumu ni Nyerere aliyetengeneza mfumo uliopo
KATIBA BORA NDIO INAZAA TUME HURU.Tume huru unaitolea wapi bro!! Wakati una katiba mbovu!!??
Kwa sasa tafsiri ya Demokrasia ni ccm kushindwa.
Njia pekee ni Elimu ya Uraia, hadi hapo majority ya raia wa Tanzania watapojua umuhimu wa Katiba. Ni jukumu la kwangu na la kwako - na hiki ndicho wamekuwa wakikifanya vyama vya upinzani atlest leo tumefika walau hapa.
Tatizo CCM ina mafisadi ambao wamejificha nyuma chama, hao ndo wanatufikisha hapa wapo radhi ratibu ratibu michezo ya giza Ili maslahi binafsi yasiguswe, alafu mbaya izo pesa huficha nje wakifa na asilimia kubwa ya pesa hupotea, ila kenya wako mbali.Jamani kila siku napiga kelele nchi nyingi za Africa zimeshaelimika mda sana kwenye uhuru wa demokrasia ikiwemo Zambia, Malawi, Kenya, Ghana na South Africa...
2025 nipo tayari kufa sita kuwa tayari kuona hii rangi ya kinyesi inabeba
Na asikwambie mtu kuna raha yake kwamba umekalia kiti KWa kura Halali, inakujengea kujiamini Sana Katika utendaji wakeDemokrasia ni kushindana kwa uwazi na mshindi halali kutangazwa, na si vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kuhakikisha CCM wanatangaza washindi kwa shuruti.
Sawa boss, ila Wapinzani wanataka na wapo tayari kupewa nchi au ni wananchi tu wanataka mabadiliko?Hapana mkuu bali watu wanataka tume huru ya uchaguzi ambayo itafanya kazi zake pasipo shinikizo la mtu yeyote.
Chaguzi ziwe huru sio mawakala wa vyama pinzani kufungiwa nje ya vyumba vya kuhesabia kura mara polisi kukimbia na mabox ya kura.
Huu ni uoga wa chama tawala ndo maana hawataki tume huru ya uchaguzi.
Unajiuliza kwanini ccm hawataki tume huru ya uchaguzi wakati ni kitu kizuri tu.
Na kwa baraka za upinzani. Upinzani na ccm lao moja tofauti ni wananchi tu labda kuna waliochoka jina ccm. Ila hii nchi upinzani=ccm ndo maana ni rahisi kuwa na utulivu panapotokea sintofahamu. Sidhani kama tulitaka kuingia kwenye vyama vingi, Dunia ya wenye nguvu tu imetulazimisha.Demokrasia ni kushindana kwa uwazi na mshindi halali kutangazwa, na si vyombo vya dola na tume ya uchaguzi kuhakikisha CCM wanatangaza washindi kwa shuruti.
Tatizo wasomi wetu ni walafi na wabinafsi sana. Wao wanatawaliwa na viongozi wetu ambao wengi ni wabinafsi. So automatically wasomi wetu hawana jipya zaidi ya uchawaNadhani kama watanzania hasa wasomi na wanaopenda kwa dhati maendeleo watakuwa wamejifunza kitu katika mchakato mzima wa uchaguzi kutoka kwa majirani zetu.
It's about time. Zoezi kama hili la sensa ni namna nzuri ya ku-practice matumizi ya digitali kurahisisha mambo, the same iende mpaka kwenye chaguzi zetu.
Nakazia!Tatizo wasomi wetu ni walafi na wabinafsi sana. Wao wanatawaliwa na viongozi wetu ambao wengi ni wabinafsi. So automatically wasomi wetu hawana jipya zaidi ya uchawa
Na asikwambie mtu kuna raha yake kwamba umekalia kiti KWa kura Halali, inakujengea kujiamini Sana Katika utendaji wake
Na kwa baraka za upinzani. Upinzani na ccm lao moja tofauti ni wananchi tu labda kuna waliochoka jina ccm. Ila hii nchi upinzani=ccm ndo maana ni rahisi kuwa na utulivu panapotokea sintofahamu. Sidhani kama tulitaka kuingia kwenye vyama vingi, Dunia ya wenye nguvu tu imetulazimisha.
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] SureNyie wazee ndio mnaamini kwenye chama kimoja tena cha CCM, mimi sijawahi kuwa muumini wa siasa za chama kimoja.
Wewe ni mwananchi mpinzani au sehemu ya chama ndani ya chama cha upinzani?Nyie wazee ndio mnaamini kwenye chama kimoja tena cha CCM, mimi sijawahi kuwa muumini wa siasa za chama kimoja.
Sawa boss, ila Wapinzani wanataka na wapo tayari kupewa nchi au ni wananchi tu wanataka mabadiliko?
Tume kuwa huru ni jambo moja, wapinzani kuwa tayari kupewa madaraka ni jambo lingine, wananchi kuichoka ccm nalo ni jambo jingine.
Wewe ni mwananchi mpinzani au sehemu ya chama ndani ya chama cha upinzani?