Nuzulati JF-Expert Member Joined Nov 25, 2020 Posts 10,094 Reaction score 37,314 Aug 10, 2022 #61 Kuna kiongozi aliwahi kusema jina limesahau ila namnukuu kwamba Watanzania sawa na Maiti na wakenya sawa mgongwa yaani utofauti wetu na wao
Kuna kiongozi aliwahi kusema jina limesahau ila namnukuu kwamba Watanzania sawa na Maiti na wakenya sawa mgongwa yaani utofauti wetu na wao
The Knowledge Seeker JF-Expert Member Joined Apr 13, 2019 Posts 3,418 Reaction score 5,028 Aug 10, 2022 #62 Swala la uchagizi huru na wa haki utakapoingia kwenye system kama ambayo Pascal Mayalla aliyokuwa akipigania hutalitaka kuliona maana ndio mtaji wa CCM peke waliobakiwa nayo
Swala la uchagizi huru na wa haki utakapoingia kwenye system kama ambayo Pascal Mayalla aliyokuwa akipigania hutalitaka kuliona maana ndio mtaji wa CCM peke waliobakiwa nayo
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Aug 10, 2022 #63 Tuige mfumo wa US badala ya ule wa Russia kwenye chaguzi zetu Tate Mkuu said: Uko sahihi kabisa ndugu mpwayungu village. Huku kwetu miaka nenda, tunacheka tu na nyani. Click to expand...
Tuige mfumo wa US badala ya ule wa Russia kwenye chaguzi zetu Tate Mkuu said: Uko sahihi kabisa ndugu mpwayungu village. Huku kwetu miaka nenda, tunacheka tu na nyani. Click to expand...