Itachukua Miaka Mingi Kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo wa upendo, uvumilivu, Hekima, Busara, Unyenyekevu, Subira, Usikivu na uzalendo

Hata ikictuchukua miaka Trillion 100 wacha ituchukue shida’ako nini kama kachokwa mapema?
Au we hiyo miaka mingi utakuwepo?
We vp?
 
Kweli kabisa Rais Samia Suluhu anathibitisha ile kauli ya "leader are born not made' ana qualities zote za kua kiongozi bora ni dhahiri kuwa alizaliwa kwaajili yetu watanzania
 
Hebu tulia ww.
Sio kweli kabisa wakulima wanaenjoy sana kipindi hiki cha uongozi wa Rais Samia Suluhu kwanza gharama za kilimo zimepungua na wakulima wanauza mazao kwa gharama ya juu zaidi
 
Hapa umenena ukweli.
 
Sio kweli kabisa wakulima wanaenjoy sana kipindi hiki cha uongozi wa Rais Samia Suluhu kwanza gharama za kilimo zimepungua na wakulima wanauza mazao kwa gharama ya juu zaidi

Gharama za kilimo zimepungua kutoka alipozipandisha, na sio zinapotakiwa kuwa. Au ni mambo ya kutengeneza tatizo na kulitatua?
 
Gharama za kilimo zimepungua kutoka alipozipandisha, na sio zinapotakiwa kuwa. Au ni mambo ya kutengeneza tatizo na kulitatua?
Kupanda kwa Bei kulitokana na kupanda katika soko la Dunia
 
Sio kweli kabisa wakulima wanaenjoy sana kipindi hiki cha uongozi wa Rais Samia Suluhu kwanza gharama za kilimo zimepungua na wakulima wanauza mazao kwa gharama ya juu zaidi
Umenena ukweli mtupu mkuu na kuongea hoja ya nguvu kabisa
 
Ni kweli mkuu anaweza kwenda mpaka 2030 ila huku mtaani hakubaliki na wananchi wengi.

Atafanikiwa kubakia madarakani ila hapendwi na hauwezi Urais.
Anapendwaa Sana Rais wetu Mama Samia kutokana na kufanya kazi ya kutukuka ya kugusa maisha ya watanzania
 
Samia huyu anayeamashisha Mawaziri na Viongozi wake wawe mafisadi?"eti niliwambia mle lakini mjipimie kiasi, lakini nyinyi mnakula mpaka mnavimbiwa"Tanganyika tumepata hasara ya kipindi cha miaka 4,ngaja tusubiri tuone.
 
Alimaanisha watosheke na kile wakipatacho kwa mujibu wa Sheria
 
Alimaanisha watosheke na kile wakipatacho kwa mujibu wa Sheria
Ndio kusema mmekula sana mpaka mnavimbewa;kadanganye makada wenziwe,akuna mfanyakazi aliyewahi kuvimbiwa kwa mshahara wake Tanganyika hii mshahara haujawahi kumfanya mtu kuvimbiwa labda wala rushwa kubwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…