Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hapo mh Rais alikuwa anawaasa kuwa wazalendo kwa Taifa letu na waridhike na like wakipatacho kwa mujibu wa sheria. Wasipatwe na Tamaa ya kujipatia vipato vikubwa kinyume na sheria
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo mh Rais alikuwa anawaasa kuwa wazalendo kwa Taifa letu na waridhike na like wakipatacho kwa mujibu wa sheria. Wasipatwe na Tamaa ya kujipatia vipato vikubwa kinyume na sheria
Samhani!!!!!Acha kusema watanzania...Sema ww kijana eboo☹️Watanzania Wana Imani kubwa sana na serikali hii ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Mama Samia Suluhu Hassan. Wakoloni tulishawafungashia virago vyao Tangia miaka ya 60 huko na kubaki tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Ni mamilioni ya watanzania wenye Imani na matumaini na Rais SamiaSamhani!!!!!Acha kusema watanzania...Sema ww kijana eboo☹️
Acha kuzungumzia nafsi za watu.Au Ww ndo mamilioniNi mamilioni ya watanzania wenye Imani na matumaini na Rais Samia
SIO KWELINi mamilioni ya watanzania wenye Imani na matumaini na Rais Samia
Anaweka na namba ya sim kabisaView attachment 2429830
huyu jamaa anajikomba anataka awe mmoja wa walamba asali ila bado hajatoboa,kaandika mengi wala SISOMI😕😉
tumemshauri atafute namna nyingine lakini sio hii ya kuandika magazeti na namba ya simu hasikii na inaonyesha hana kazi ya kufanya kutwa nzima anashinda anaandika tu na kupiga mapambio akiamini atapata uteuziAnaweka na namba ya sim kabisa
Wenzake waliweka,wamechoka wenyewe,wako kimya [emoji1]
Teuzi zinaishia kwa watoto wa vigogo
Wao wanabakia kupiga debe tu
Ova
Aibu kubwa sn na hataritumemshauri atafute namna nyingine lakini sio hii ya kuandika magazeti na namba ya simu hasikii na inaonyesha hana kazi ya kufanya kutwa nzima anashinda anaandika tu na kupiga mapambio akiamini atapata uteuzi
Kwa vijana wajinga kama huyu haiwezi kupatikanaKatiba mpya inapatikana kweli kwa vijana waliopo?
Akili za vijana wa kitanzania zinawaza teuzi za bureYA RABBI MOLA MUWEZA FANYA MAMA YETU KIPENZI HUYU AWE WA KWANZA NA WA MWISHO WA MITHILI YAKE KUJA KUTAWALA NCHI HII. NA IKIKUPENDEZA EWE MOLA LAINISHA NAFSI YAKE AACHIE MADARAKA KABLA HATA YA 2025 KWA HIARI YAKE AENDE KULEA WAJUKUU, AMIN.
Jamaa tafuta hata bustani upande mchicha uuze. Acha kujitoa ufahamu kwa kutarajia uteuzi.