Itachukua Miaka Mingi Kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo wa upendo, uvumilivu, Hekima, Busara, Unyenyekevu, Subira, Usikivu na uzalendo

Itachukua Miaka Mingi Kumpata Rais Samia Mwingine Mwenye moyo wa upendo, uvumilivu, Hekima, Busara, Unyenyekevu, Subira, Usikivu na uzalendo

Hapo mh Rais alikuwa anawaasa kuwa wazalendo kwa Taifa letu na waridhike na like wakipatacho kwa mujibu wa sheria. Wasipatwe na Tamaa ya kujipatia vipato vikubwa kinyume na sheria
AAn6gDbjc.jpeg
 
Watanzania Wana Imani kubwa sana na serikali hii ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Mama Samia Suluhu Hassan. Wakoloni tulishawafungashia virago vyao Tangia miaka ya 60 huko na kubaki tukiijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe
Samhani!!!!!Acha kusema watanzania...Sema ww kijana eboo☹️
 
1669637267314.png


huyu jamaa anajikomba anataka awe mmoja wa walamba asali ila bado hajatoboa,kaandika mengi wala SISOMI😕😉
 
Anaweka na namba ya sim kabisa
Wenzake waliweka,wamechoka wenyewe,wako kimya [emoji1]
Teuzi zinaishia kwa watoto wa vigogo
Wao wanabakia kupiga debe tu

Ova
tumemshauri atafute namna nyingine lakini sio hii ya kuandika magazeti na namba ya simu hasikii na inaonyesha hana kazi ya kufanya kutwa nzima anashinda anaandika tu na kupiga mapambio akiamini atapata uteuzi
 
YA RABBI MOLA MUWEZA FANYA MAMA YETU KIPENZI HUYU AWE WA KWANZA NA WA MWISHO WA MITHILI YAKE KUJA KUTAWALA NCHI HII. NA IKIKUPENDEZA EWE MOLA LAINISHA NAFSI YAKE AACHIE MADARAKA KABLA HATA YA 2025 KWA HIARI YAKE AENDE KULEA WAJUKUU, AMIN.

Jamaa tafuta hata bustani upande mchicha uuze. Acha kujitoa ufahamu kwa kutarajia uteuzi.
Akili za vijana wa kitanzania zinawaza teuzi za bure
 
Back
Top Bottom