KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 36,625
- 89,385
Nimekaa nikatathimini kuhusu ustaarabu naona tunasafari ndefu sana!, na hili ni moja kati ya swala nyeti maana linagusa katika kila sehemu!.
iwe ni maendeleo,siasa,michezo,tamaduni,imani n.k hauwezi ukawa binadamu mwenye akili timamu kama hauzingatii ustaarabu!.
Naghafirika sana pale napoona mtu mwenye akili timamu akiamua kwa dhati kabisa kuharibu utaratibu wowote kwa maksudi!, matukio ambayo yanaweza kuepukika ni vyema yaepukike kuliko kutuletea taharuki kisa yanafaida kwa watu wachache!. vitu kama vita zakidini,siasa ni sehemu moja wapo ambapo yanafanya nione bado hatuna ustaarabu wa asilimia hata 50%.
Baadhi ya maamuzi ya viongozi yanafanywa pasipo kuzingatia kanuni huko nako nikukosa ustaarabu!, mwisho wa haya mambo huwa si mzuri