Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha Mwalimu Maganga kukataliwa ombi lake.
Wanadhani wao watakuwa salama?
Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya kulinda nguvu ya chama cha walimu.
Ama sivyo tukubaliane wazi kwamba chama hiki hakiko huru na hakina nguvu yoyote katika kutetea haki za wanachama wake.