na wewe tafakari ameomba kuazimwa kwa muda gani, yaani yeye kila akiomba anapewa tu na huku nafasi yake ya awali inatunzwa.Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha mwlm Maganga kukataliwa ombi lake!
Wanadhani wao watakuwa salama?
Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya kulinda nguvu ya chama cha walimu!
Ama sivyo tukubaliane wazi kwamba chama hiki hakiko huru na hakina nguvu yoyote katika kutetea haki za wanachama wake!
Kwa hiyo ukiteuliwa bila kuambiwa na hiyo kazi huitaki unaenda tu na hiyo ndiyo tafsiri ya kutii na kuheshimu mamlaka?Mkuu kwenye kutii na kuheshimu mamlaka hakuhitaji siasa.. Acheni kuleta siasa kwenye hili suala..
Chama kinaongozwa na vilaza fomfoo feilia, unafikiri watajielewa lini, elimu ya Tanzania ni ujinga tu, karne ya 21 watunga sheria wengi ni vilaza wa darasa la 3CNi jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha mwlm Maganga kukataliwa ombi lake!
Wanadhani wao watakuwa salama?
Hata kama ana makosa, bado kuna kila sababu ya kulinda nguvu ya chama cha walimu!
Ama sivyo tukubaliane wazi kwamba chama hiki hakiko huru na hakina nguvu yoyote katika kutetea haki za wanachama wake!
Niambie ni chama GANI cha wafanyakazi kipo active na kinajitambua!!?Ni jambo la kusikitisha sana kuona baadhi ya walimu wanaunga mkono kitendo cha mwlm Maganga kukataliwa ombi lake!