Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Tatzo hati ndio maana muda wote mna kuwa visirani tu ss hpo yanga tumeingiaje? haaaaaahaaaaa kilomoniiiiiii!Sitegemei maajabu aisee, nje ya uwanja muhamasishaji wa mashabiki ni Piere Likwidi, nae asharudi nyumbani. Huwezi ukacheza soka la kisasa kwa kutembeza bakuli na kusifu timu inakaa hoteli nzuri na wanakula vizuri wakati serikali ya Senegal imetenga bajeti ya mamilioni ya shilingi kwa ajili ya timu yao. Sisi hatujitambui ni kama Yanga kusifia mawazo ya Rostam, sisi ni kama mazuzu tu.
Haaahaaaahhha, hujui waswahili tunanongwaπππTatzo hati ndio maana muda wote mna kuwa visirani tu ss hpo yanga tumeingiaje? haaaaaahaaaaa kilomoniiiiiii!
Kichaa kwenye umaarufu wake!Sitegemei maajabu aisee, nje ya uwanja muhamasishaji wa mashabiki ni Piere Likwidi, nae asharudi nyumbani. Huwezi ukacheza soka la kisasa kwa kutembeza bakuli na kusifu timu inakaa hoteli nzuri na wanakula vizuri wakati serikali ya Senegal imetenga bajeti ya mamilioni ya shilingi kwa ajili ya timu yao. Sisi hatujitambui ni kama Yanga kusifia mawazo ya Rostam, sisi ni kama mazuzu tu.
Kichaa kwenye umaarufu wake!