Itagongwa pande zote,Itapigwa mpaka ichakae.

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
7,926
Reaction score
17,030
Wanaokula pesa na Amunike nawaambia Taifa Stars itapigika sana...itapigwa ile mbaya...itapigwa kushoto, itapigwa kulia. Itapigwa mbele itapigwa nyuma.

Itapigwa itagalagazwa...itapigwa mpaka ichakae ile kinyama hasa. Kama kocha mwenyewe ndo huyo ana roho mbaya alishashindwa kabla ya kuanza.

Group letu team zote zinahesabu point tatu toka kwetu. Maana sisi tuna organized criminals in the field.hawaelewani sababu kocha lenyewe ni la hovyo.
 
Sitegemei maajabu aisee, nje ya uwanja muhamasishaji wa mashabiki ni Piere Likwidi, nae asharudi nyumbani. Huwezi ukacheza soka la kisasa kwa kutembeza bakuli na kusifu timu inakaa hoteli nzuri na wanakula vizuri wakati serikali ya Senegal imetenga bajeti ya mamilioni ya shilingi kwa ajili ya timu yao. Sisi hatujitambui ni kama Yanga kusifia mawazo ya Rostam, sisi ni kama mazuzu tu.
 
Tatzo hati ndio maana muda wote mna kuwa visirani tu ss hpo yanga tumeingiaje? haaaaaahaaaaa kilomoniiiiiii!
 
Tulikosea Sana kwa yule bwana..hata kufuzu zilikua ni hisani za majirani..
 
Mpira wa Tanzania bado Sanaa

Hata strength na body structure tu ya wachezaji plus kasi na ufundi bado tunazidiwa sana.

Yetu majungu
 
Stars bado ipo imara na matumaini ya kutosha.
 
Sitegemei maajabu aisee, nje ya uwanja muhamasishaji wa mashabiki ni Piere Likwidi, nae asharudi nyumbani. Huwezi ukacheza soka la kisasa kwa kutembeza bakuli na kusifu timu inakaa hoteli nzuri na wanakula vizuri wakati serikali ya Senegal imetenga bajeti ya mamilioni ya shilingi kwa ajili ya timu yao. Sisi hatujitambui ni kama Yanga kusifia mawazo ya Rostam, sisi ni kama mazuzu tu.
Kichaa kwenye umaarufu wake!
 
Back
Top Bottom