Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wanaokula pesa na Amunike nawaambia Taifa Stars itapigika sana...itapigwa ile mbaya...itapigwa kushoto, itapigwa kulia. Itapigwa mbele itapigwa nyuma.
Itapigwa itagalagazwa...itapigwa mpaka ichakae ile kinyama hasa. Kama kocha mwenyewe ndo huyo ana roho mbaya alishashindwa kabla ya kuanza.
Group letu team zote zinahesabu point tatu toka kwetu. Maana sisi tuna organized criminals in the field.hawaelewani sababu kocha lenyewe ni la hovyo.