Itaje hapa shule ya Msingi ya Serikali inayotoa elimu kwa lugha ya kiingereza (English medium) iliyopo mkoani kwako

~ Tuanzie kwenye ada kwanza ni sh. Ngapi?
Halafu kwa nini hizo shule hazitangazwi ili wapiga kura wa sisiem wajue?

Hizo shule ni za wanasiasa na familia zao?
 
Ahsante mkuu, Ina maana ndio hizi english medium za serikali tanzania nzima?
 
Ndugu mwandishi kuna error hapo, ya Tanga inaitwa Changa Primary School na siyo Tanga Primary!
 
siioni shule ya msingi Azimio, Mbeya au ndio hiyo inaitwa magufuli katika post #1
 
~ Tuanzie kwenye ada kwanza ni sh. Ngapi?
Halafu kwa nini hizo shule hazitangazwi ili wapiga kura wa sisiem wajue?

Hizo shule ni za wanasiasa na familia zao?
kama laki tatu hivi ukiachana na michango mingine
 
Ngoja nitie kambi hapa, huu uzi utanifaa. Morogoro hamna shule za namna hii
 
hapana hii magufuli ni mpya, mbeya kuna shule nyingi hivi, why kumependelewa?
sio shule za serikali tu hata shule za ccm ni nyingi Mbeya. kuna watu wameumia mpaka kufika hapa, nakumbuka 2001 wachuuzi wa soko la makunguru walikua wakitwangana na mgambo wa manispaa kila siku kupinga eneo lao kuchukuliwa na manispaa.

walituma wawakilishi Dodoma kumlilia mkapa awasaidie ( sijui kama ni kweli). Mkapa alisimama upande wa manispaa na lile eneo likatwaliwa kimabavu na kujengwa shule ambayo ikapewa jina la Mkapa kama shukrani kwa prezidaa.
 
Kila mkoa au wilaya kungekuwa na shule angalau moja za serikali zinazofundisha kwa kiingereza.
 
Kwa hiyo chief, ndio chanzo cha kujengwa shule zote hizo za msingi kwa mtaala wa kiingereza
 
Changa inamilikiwa na serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…